MD Mhando si tu kupisha anatakiwa aonekane mahakamani na Mh. Mkono akatiwe ulazi wa kifisadi

babykailama

JF-Expert Member
Mar 5, 2012
251
243
Mnyika ameweka wazi wizi wa Mhando na mkewe na pia Mh. Mkono na Kampuni yake bungeni. Mnyika nakusifu kwa umakini wako na ukweli wako. Na Tume iundwe ili kubaini na wengine kama wale wabunge waliohongwa ili sheria ichukuwe mkondo wake. Bodi ya TANESCO ivunjwe basi !!
 
Mnyika ni kijana makini sana!...Tanzania ya leo inahitaji sana watu jasiri wa aina hii!
Huyu pamoja na Mkono wasiishie kunyofolewa vyeo tu, maana ndiyo utamaduni wa JK huo!
 
Kweli hata mimi namkubali sana Mnyika. Yaani hata sielewi kwa nini huyu Mkono pamoja na madudu mengi na tuhuma anapewa kuitetea Serikali? Hivi Bunge letu hawawezi kukataa na kusitisha hiyo mikataba yake ya kihuni maana aliwahi kuliingiza Taifa hili katika hasara wakati kampuni yake ilipokuwa ikipewa uwakili wa kesi za Benki kuu. Mtakumbuka hata Dr. Slaa alimuorodhesha huyu katika ile list of shame; hafai huyu.

Hapo naona ni kumfukuza kabisa huyo Mhando na ile Bodi yake. Waziri aanze upya na MD anayejali maslahi ya Umma
 
Nogopwa wasije wakammabwepande tu, maana hawa wezi hawapendi wasema kweli kwa uwazi, wanapenda wanafiki wanao wasema pembezoni
 
Halafu Viongozi wetu wanaenda USA na FRANCE eti kuangalia mitambo ya kuzalisha umeme na hawakuipata ni kweli pamoja na maendeleo yote ya IT bado kuna watu wanafanya manunuzi kwa njia hiyo????????????????????????????? Tanzania we are finished. Nilisema hata kama hamtaniunga mkono kuna siku nitaandamana peke yangu and will deliver the message. Mungu atusaidie.
 
mnyika ni tishio ndio maana inasemekana yuko kwenye list ya kupelekwa mabwepande maana jamaa anaikosesha raha serikali
 
mnyika ni tishio ndio maana inasemekana yuko kwenye list ya kupelekwa mabwepande maana jamaa anaikosesha raha serikali

Hasa baada ya kumwita yule jamaa wa magogoni dhaifu na alivyo na kisasi yanaweza kumkuta yaliyomkuta Godbless Lema lakini hiyo haita saidia maana watanzania wanaujua ukweli.
 
Duu ! Hii kali kama tender watu wanaandikishana bedroom nomaaa hii ! ......... Hii kesi tayari inamtafuta mtu ... Mhando upooooooo ???
 
Ebana eh!! Lakini mnajua mhando hajafukuzwa kazi?? Na madhira yote haya bado anavuta mshahara wake?? kweli it's only tz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom