Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Baraza la habari nchini Tanzania MCT, linajipanga kutafuta ufafanuzi wa kisheria mahakamani wa tafsiri ya makosa ya uchochezi.
Hatua hiyo inakuja kufuatia ongezeko la adhabu kwa vyombo vya habari nchini ikiwemo faini, kufungiwa na kukemewa, ambapo hii leo mamlaka ya mawasiliano TCRA imevipiga faini vituo vitano vya utangazaji kwa madai ya kurusha habari ya uchochezi.
Rejea hapa; Vituo vya runinga vyapigwa faini jumla ya Tsh. Mil 60 kwa kukiuka maadili ya uandishi na kutangaza habari za kichochezi
Nini maoni yako?