MCT na TCRA chunguzeni kipindi cha Clouds 360

Rufiji dam

JF-Expert Member
Feb 20, 2020
3,767
8,683
Hiki kipindi kimekuwa kinaleta ukakasi sana katika afya ya habari nchini. Mara nyingi kimetumika kama dekio la kusafisha watuhumiwa hasa watendaji wa serikali. Kipindi kimekuwa kinaendeshwa kwa waandaji kujipendekeza rejea zama za utawala wa JPM.

MCT na TCRA chukue hatua juu ya kipindi hiki. Je, yale madai ya kutumika kumsafisha Sabaya yana ukweli. Huyu Sasali ni mwandishi kitaaluma ama karukia fursa tu?
 
Hapo ilitakiwa wasafishe media almost zote.

Ila ukweli unabaki “matangazo” ndio main source nayo % kubwa inatoka huko wanakojipendekeza
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom