MCL: DPP kurudisha fedha za 'plea bargain' kwa waliodhulumiwa

Umeelewa? Hizo pesa zinarudishwa kwa waliofanyiwa uhalifu, Yani kutoka kwa walikiri makosa kwenda kwa waliotendewa makosa
Mfano: Kama wewe ulishtakiwa kulipa pesa kwa kudhulumu akina mama,basi hizo oesa zinarudishwa kwa akina mama
Umemskia DPP Mwakitalu kwamba akaunti haikuwa ya kitaasisi ila mtu binafsi na matumizi yake hayako accountable popote!! Then haikuwa kisheria matumizi yake!!

Embu kubali kwenye hili JPM and DPP walikurupuka!! Nia ni njema ila utekelezaji mbovu kabisa. Maana ilikua ni kukomoana sio kufidia watu walioathirika na uhalifu huo
 
Kumbe hizo pesa zilikuwa kwenye akaunti maalum BOT zimekaa tu hazijapangiwa matumizi, basi Magufuli licha ya mapungufu yake lakini alikuwa na adabu kwenye matumizi ya hizi pesa.
 
Sio kwa waliolipa, ni kwa victims wa waliolipa.

Kama uliiba hela za CRDB kwa mfano, ukaambiwa urudishe, victims ni CRDB ndie anatakiwa kurudishiwa hela zake.

Muwe mnasoma na kuelewa.
Mkuu spinners wako wengi kweli humu. Usipokwa making unalishwa matango pori.
 
Ilikuaje Chato International airport ikajengwa kijijini kwake?
Kumbe hizo pesa zilikuwa kwenye akaunti maalum BOT zimekaa tu hazijapangiwa matumizi, kumbe basi Magufuli licha ya mapungufu yake lakini alikuwa na adabu kwenye matumizi ya hizi pesa.
 
CCM hawajawahi kujielewa na hawajui wanafanya nini🐒🐒🐒
102011131.jpg
 
Ilikuaje Chato International airport ikajengwa kijijini kwake?
Hapo uliponi-quote umeona popote nimeandika "Chato International Airport"?

Jadili hoja iliyoko mezani, usikariri tu, zaidi umeambiwa hizo pesa toka kukusanywa kwake hazijawahi kutumika popote, au unabishana na mwandishi alieandika hii habari, na DPP mpya alietoa maelezo?
 
Alikuwa anasubiri zijae akamalizie Chato airport
Hapo uliponi-quote umeona popote nimeandika "Chato International Airport"?

Jadili hoja iliyoko mezani, usikariri tu, zaidi umeambiwa hizo pesa toka kukusanywa kwake hazijawahi kutumika popote, au unabishana na mwandishi alieandika hii habari, na DPP mpya alietoa maelezo?
 
Wengi hii habari hamjaielewa mnakurupuka tu. Wataorudishiwa ni wale ambao wameathiriwa na hao waliofanya na kukiri makosa. Zingine zitabaki serikalini.

Mfano ulidhulumu watu, ukapelekwa mahakamani ukakiri kosa. Hivyo pesa itarudishwa kwa waliodhulumiwa
 
Back
Top Bottom