MCHUNGUZI HURU: Raisi wa Marekani(Obama) ana bangi kichwani

Status
Not open for further replies.

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,401
1,604
Yeye mwenyewe Obama alishawahi kukiri hadharani kuwa ameshawahi kuvuta bangi alipokuwa high school pamoja na chuo. tembelea hapaa m.csmonitor.com/USA/DC-Decoder/2012/0526/President-Obama-smoked-pot-in-high-school.-Why-is-he-against-legalizing-marijuana

Utafiti wa kisayansi unabainisha ya kuwa kila mvuto (pafu) moja wa/la bangi hukaa kichwaani kwa miaka saba na raisi Obama amevuta bangi miaka zaidi ya minne yaani high school and college.

Kitu hicho kinaashiria kwamba raisi huyo bado ana bangi kichwani, kutokana na ushahidi wa kisayansi. Hivyo, maamuzi ya Obama yametawaliwa na Bangi zake, uendeshaji wake nchi umetawaliwa na bangi zake.

Swali, pamoja na bangi zake alizonazo kichwani mbona nchi ya marekani anaiongoza vizuri tu? japokuwa kuna wakati anapitia baadhi ya changamoto lakini hajaaribu sana.... au na sisi wa kwetu tumpe bangi labda anaweza akawa na akili kama za Obama? "we dare to talk openly"

nisihukumiwe kwa lolote, maandish haya yametokana na uchunguzi huru niliyofanya kwenye biography ya obama na uchunguzi wangu kwenye tovuti za kisayansi. Obama bado ana bangi kichwani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom