MCHUNGUZI HURU: Hii ndizo nyakati ambazo watu HUGEGEDANA SANA

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,401
1,604
Uchunguzi huu umefanyika jijini Dar es salaam
....
Watu wengi hupenda sana kufanya mapenzi weekend kwa kuwa wiki nzima wanakuwa busy na kazi(hasa kwa ambao hawajaoana), kuna wakati hata ambao wameoana wamekuwa hawafanyi mapenzi katikati ya wiki kutokana na vijana wengi kuwa wachovu yaani wanashinda wanakula chips na hawafanyi mazoezi.

Mbili, siku za birthday. Wakaazi wengi wa dar wamekuwa wakiithamini sana siku ya kuzaliwa tofauti kidogo na mikoan, hivyo siku ya kuzaliwa watu wamekuwa wakifanya sherehe hata ndogo tu either nyumban au bar kisha baada ya hapo kama wameoana basi wanaend kugegedana au kama bado hawajaoana wanaenda hotelini kuchukua chumba na kufanya mapenzi.

Tatu, mwisho wa mwezi. hii inawahusu sana wale wanaofanya kazi lakini bado wanaishi kwa wazazi wao na wale wanaotegemea fedha kutoka kwa wazazi wao. unakuta mtu anahamu ya kugegeda lakini anashindwa.kutimiza haja yake kwakuwa hana fedha ya kwenda hotelini hivyo inabidi asubiri mshahara utoke ndiomaana mwisho wa mwezi hotel nyingi hujaa.

Nne, boom likitoka. kama unavyofaham kuwa dar kuna vyuo vingi, kwa wale wanafunzi wanaosomeshwa na bodi boom likitoka ndio wanakuwa wamepata pesa ya kufanyia mapenzi, bila boom kutoka wengi wao wanakuwa hawana fedha ya kulipa hata guest za vichochoroni.

Tano, siku za sherehe kama xmas, mwaka mpya, pasaka na idd zote. Hizi pia ni nyakati ambazo wagegedaji huzitumia kwani huweza kukutana na watu ambao huwa hawaruhusiwi kutoka nje ovyo ovyo lakini siku za sherehe hutoka ambapo mapenzi hufanyika bila staha yaani unakuta beach watoto wanagegedana, wengine wanajifanya kuwa wanaogelea kumbe wanagegedana ndani ya maji.
........
NAWASILISHA
 
hapo kwenye boom umegusa wanachuo wengi sio dar tu ata vyuo vingine vya mikoan..maana boom likitoka ndo madisko yanaaza..mara intercollege ..ma bashi ya na ibuka..tripu zisizokuwa na sababu ..ngoja mfulio ufike hata mpenz wako humkumbuki watu wanajifanya bize na kutengeneza course work.....
 
umesahau kipi ambacho wanafunzi wengi hasa wa chuo wanapofunga xul na kufungua..kwamadai ya kuagana kwenda likizo na kukalibishana kutoka likizo...
 
hapo kwenye boom umegusa wanachuo wengi sio dar tu ata vyuo vingine vya mikoan..maana boom likitoka ndo madisko yanaaza..mara intercollege ..ma bashi ya na ibuka..tripu zisizokuwa na sababu ..ngoja mfulio ufike hata mpenz wako humkumbuki watu wanajifanya bize na kutengeneza course work.....

kweli kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom