E and E
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 1,010
- 840
sio kila dr anaetibu kwenye hospital za wakatoriki ni mkatoriki acha kukalili..afu siku nyingine uache uzwazawa unapewa bahasha ya majibu yako ya ukimwi na wewe unaipeleka hivyohivyo bila kujua kilichomo??
Ananikumbusha stori ya Uria kwenye kitabu cha biblia Wafalme aliyepewa kupeleka ujumbe wa kuuwawa kwake kwa mikono yake mwenyewe na akaauwa kweli! haya maandiko sijui kwa nini hayatufundishi hata kizazi hiki!