mchungaji wa kiume afumwa akimuogesha mke watu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mchungaji wa kiume afumwa akimuogesha mke watu

Discussion in 'Jamii Photos' started by Money Stunna, Mar 25, 2012.

 1. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  caught.jpg12.jpg mchungaji amefumwa akimuogesha mke wa watu nchini ghana,mchungaji anadai alikuwa anamtakasa na alimuogesha kwa maji ya baraka,mchungaji uyo alipigwa hii picha kwa siri,cha ajabu anaogesha wake za watu wakiwa uchi,wanaume aogeshi
   
 2. Jotojiwe

  Jotojiwe JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 325
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Huyu lazma anamambo yake pembeni
   
 3. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  hii ndio matokeo ya waumini kuwaamin sana wachungaji wao,ni ujinga tu
   
 4. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hii maneno ya kutakasa hata bongo ipo! aMnamkumbuka yule mke wa wakili aliyegongwa na 'nabii'!?
   
 5. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Sishangai sana; ujasiriamali ulivyojaa siku hizi kwenye hizi dini
   
 6. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hebu nipe contact zake ili nifungue branch TZ
  OTIS
   
 7. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,786
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  Uko serious kabisa!?
   
 8. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Dunia ina mambo, hao wanawake Mungu kawapa utashi wanashindwa kugundua wanapodanganywa?
   
 9. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  lol.....
   
 10. doup

  doup JF-Expert Member

  #10
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  wanawake ndio waathirika wakubwa wa mambo hayo, Nimeshaangaa sana kusikia huko melelerani mchungaji anapiga watu kisa hataki sadaka kiduchu. Haki ya nani utakuta waliopigwa hapo ni wamama na mabinti, kama kuna kaka au baba alikubali kupigwa nampa pole sana.

  Walitakiwa wampe fundisho huyo mchungaji feki, hadi popote atakapo ona kasinisa anabadilinjia.

  Makanisa ndio kimekiwa kichaka cha wezi, wauza unga na mafisadi
   
 11. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Zama za mwisho na vituko vyake.
   
 12. T

  TORABORA Member

  #12
  Mar 26, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Makanisa oyeeee. Yesu oyeeee.
   
 13. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Huyo mchungaji au baunsa?
   
 14. odinyo

  odinyo JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  inauma
   
 15. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ushirikina mtupu, hakuna cha mchungaji wala kondoo hapo.
   
 16. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Duh hapo kinachofuata sikupeana mambo tu....
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  i envy these people.....
  they get women for free
  na sadaka juu.......
  ni kama rock stars hivi lol
   
 18. a

  abdulayewade Member

  #18
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanawake wengi wameingiwa na upumbavu vichwani mwao,hayo hata hapa tz yamefika
   
 19. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #19
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Duh na hayo makatani ni ya nini??
   
 20. 124 Ali

  124 Ali JF-Expert Member

  #20
  Apr 14, 2013
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 5,708
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  Umeona eh ?yaaani wanangonoka na wanatia heshima mfukoni!
   
Loading...