Mchungaji wa kanisa alia ukata kanisani, ashindia uji

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
Mchungaji wa kanisa la anglikana (jina linahifadhiwa?),amelia ukata wa fedha kanisani kwake kutokana na waumini wake kushiriki ibada bila kutoa chochote,hata tu ile 10 % hawana.Wanadai hali ngumu.

Mchungaji huyo amemwambia mtoto wake "asome alama za nyakati"

8.jpg

Chanzo: Jambo LEO
 
Yeye analia hali ngumu wakati mwenzie kasema Maisha yamekuwa naafuu sana. Yaani Sadaka zimeongezeka kwake.
 
Poleni sana kiongozi wa dini..tunapenda msiishi maisha magumu bora sisi mnaotunza mioyo yetu..lkn suara la kutengeneza mfumo wa nchi MNA nafasi kubwa..kuombea nchi ( kuombea uongozi wa nchi)
Kubadirika na kutengeneza miradi endelevu..kwa faida ya waumini na jamii bila kujali imani gani kwamfano hospitality,shule nk
Napenda saana mfumo wa kikatorik kwa kuya pata maeneo makubwa na kufanyia miradi endelevu..kwa kusaidia ukuaji wa iman,uchumi na maendeleo ya kijamii,japo sasa hata walutheri nao wameanza kujua faida
 
Hivi ile imani wanayotufundisha hua wao wanaiweka wapi. Maana muumini akisema hali ngumu anaambiwa hana imani au ana imani haba, sasa wao je?
 
Poleni sana kiongozi wa dini..tunapenda msiishi maisha magumu bora sisi mnaotunza mioyo yetu..lkn suara la kutengeneza mfumo wa nchi MNA nafasi kubwa..kuombea nchi ( kuombea uongozi wa nchi)
Kubadirika na kutengeneza miradi endelevu..kwa faida ya waumini na jamii bila kujali imani gani kwamfano hospitality,shule nk
Napenda saana mfumo wa kikatorik kwa kuya pata maeneo makubwa na kufanyia miradi endelevu..kwa kusaidia ukuaji wa iman,uchumi na maendeleo ya kijamii,japo sasa hata walutheri nao wameanza kujua faida
Katoliki ni ufalme
 
Hata akina daudi,yakobo,watoto wa adamu na eva yaani kaini na abeli ,joseph na maria,ayubu,na wengineo walikua ni wacha mungu na viongozi lakini walilima,kufanya biashara kufuga n.k sembuse hawa wa leo kazi kutegemea madhabahu tu..mtakufa njaa na nyie fanyeni kazi.
 
Back
Top Bottom