Mchungaji Rwakatate kuburuzwa tume ya migogoro kazini

KURA ZA SIRI

Member
Oct 3, 2014
18
3
Wana jf hamjambo?
Siku si nyingi hapa janvini ilikuwepo thread inayomuhusu huyu mchungaji na mwanasiasa anayemiliki kanisa la Mikocheni B assemblies of God juu ya kuwadhurumu walimu haki zao ikiwemo mishahara.
Walimu hao leo wameadhimia kumburuza kunako tume ya usuluhishi wa migogoro kazini baada ya mchungaji huyo kushindwa kuwalipa haki zao baada ya kuwaondoa kazini kienyeji bila kuwalipa termination allowances.

Baada ya walimu hao kumkomalia mwanasiasa huyo alimleta mwanasheria aliyejitambulisha kwa jina moja la Emmanuel toka mahakama kuu aliyekuja na kuwapa sababu za kitoto walimu hao kuwa hawana haki yoyote wanayodai toka kwa mwanasiasa huyo.

Mwanasheria huyo ambaye wala hakuhitaji kuwa na elimu ya chuo kikuu kujua kwamba alikiuka miiko ya kazi yake kwa kutetea maovu mara kibao katika maelezo yake alijikanganya.

Licha ya walimu hao wazalendo kesho kumburuza kunako sheria mchungaji huyu mfanyabiashara,pia walimu hao wanatoa wito jamii kushirikiana kumkemea mama huyu maana kwenye shule zake watoto wa kitanzania wanaharibiwa future;

Wakenya ndio wamejaa kama walimu na hadi sekondari wakenya wanafundisha somo la Kiswahili.

Wakenya wale licha wengi wao kutokuwa na sifa stahiki za ualimu kwa muktadha wa elimu yetu pia wengi wao ni wahamiaji haramu kitu ambacho ni hatari kwa usalama wa nchi yetu.

Siamini mchungaji tena wa kanisa la kilokole ana kashfa lukuki ikiwemo wizi wa ememe,kudhurumu viwanja vya wajane na hata walimu wake na wafanyakazi wote anawalipa mishahara hata hailingani na iliyokuwa posho yake kule BMK na mbaya zaidi inalipwa tarehe 45 kila mwezi.

Ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko mchungaji huyu kuingia ufalme wa mbinguni.
 
Yule mama shule kazitelekeza yeye kabase kwa kanisa maana kule ndo kaona ulaji kiulaini.

Shule kawaachia akina Kamau ambaye wabongo walimfanya kitu mbaya.
 
mwalimu pole kwa kufukuzwa. lakini sijajua, anaburuzwa Rwakatale au inaburuzwa shule yake (ambayo ina wakurugenzi kadhaa)....funguka zaidi.
 
Huu uzi utakuwa na Reply nzito na zilizoshiba… ngoja niu Subscribe aisee…
Karibuni wachangiaji
 
mwalimu pole kwa kufukuzwa. lakini sijajua, anaburuzwa Rwakatale au inaburuzwa shule yake (ambayo ina wakurugenzi kadhaa)....funguka zaidi.

Mkuu yule ndo kila kitu hata makubaliano aliingia yeye kwahyo whatever the case ni mhusika mkuu.Ingawa pale wakurugenzi wote akiwa yeye,Muhenga,Kibona n.k wote walewale.

Maskini walimu wa kitanzania walioko pale ni njaa tu lakini huwezi amini wanasimamiwa na wakenya ambao wengi wao elimu zao ni utata maana huwa wanabebana kutoka kwao kama washangiliaji mikutano ya ccm.
 
Ada zote hizo bado hawalipi walimu!. Ni aibu kwa aliyemteua kuwa mbunge kwani badala ya kuisaidia jamii yeye anaiangamiza.
Ona sadaka anazopata kwenye kanisa lake zilivyo nyingi. Nawaonea huruma watoto na waumini wake kwani anashirikiana na shetano kuwaangamiza. Aone aibu japo kidogo basi eeh!.
Naamini sasa hawa warokole ni watu wasio na huruma na makatili ndo maana wanaficha tabia zao makanisani ili watuzuge.
Hawa uhamiaji hawalijui hili la wageni kufanya kazi bila kibali? Nani anamlinda mama huyu na kwa manufaa gani? Ngoja ije Tanganyika yetu itusafishie magugu haya ya kigeni kwani yanatunyonya kupita kiasi sasa.
 
mwalimu pole kwa kufukuzwa. lakini sijajua, anaburuzwa Rwakatale au inaburuzwa shule yake (ambayo ina wakurugenzi kadhaa)....funguka zaidi.

swali la kisomi lakini ulimwengu hauendi kisomi,wakurugenzi na umiliki ni vitu tofauti,
 
Back
Top Bottom