kuseranasera
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 620
- 390
Bila picha inakueje
Piga yako ukiwa uchi uiweke hapa watu wafurahi!Bila picha inakueje
picha tafadhali
IMANI IMANI IMANI
Alikuwa anawafundisha utamu wa yesu kwa vitendo
kama sio maadili mazuri mbona umeileta hapaHakuna picha kwanza sio maadili mazuri
Ni suala la kutafakari sana.Sijui kwanini wanawake wanadanganyika kirahisi iwe kwenye mapenzi, utapeli hata kwa manabii na wachungaji makanjanja
Una utani kuuliza hivi? Bila picha, ni sawa na kula dona bila mboga. Tonge mtihani kumezaPicha za nini tena bwashee?!
Njoo nasi tanzishe maombezi tutawapata tu.Dah Mchungaji kafaidi hadi naona wivu