Mchungaji na wanawake 7 watiwa mbaroni baada ya kukutwa wakisali wakiwa uchi

Wepesi Sana wa kuamini,wanawake ni kama bastola inaweza kukusaidia au kukupoteza,alafu kila sehem wao wako nyomi,ukienda nyumba za ibada wao ni wengi,ukienda kwa akina mshana wapo pia nahisi hata wanga wengi ni wanawake
 
Hata picha hakuna
tuonyesheni hata kwa chini sura mfiche tu
Kamata picha hiyo mkuu MO11
FB_IMG_1538666443066.jpg
 
Kweli fulu gospo............mimi nawaalika kwenye kanisa langu la geto gospo uje na kabandana tu huku hata kichwa hakitakiwi kua uchi
 
Daaah na ile migongo ya wanawake wa kiganda,pastor kafaidi sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom