Mirlz B Matthew
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 2,200
- 3,042
Wafuasi wa kibwetere si ndo yanafanana na haya.....Na waganda walivyo na misambwanda....ibada inapanda tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha za nini tena bwashee?!Picha
Sijui kwanini wanawake wanadanganyika kirahisi iwe kwenye mapenzi, utapeli hata kwa manabii na wachungaji makanjanjaPolisi katika eneo la Rukiga nchini Uganda, wamewashikilia wanawake 7 na mchungaji wao, kwa kusali wakiwa watupu ndani ya nyumba ambayo wao wamedai kuwa ndio kanisa lao.
Watu hao ambao wamedai ni waumini wa kanisa la Full Gospel wamekutwa kwenye nyumba ya mmoja wao anayejulikana kwa jina la Adah Kahababo, huko Rukiga.
Akizungumzia kukamatwa kwao Kamishna wa makazi wa wilaya Emmy Ngabirano na Mkuu wa Polisi wa eneo hilo, wamesema kwamba watu hao ambao ni wake za watu, wameshangazwa na kitendo hicho, ambacho licha ya kuvunja maadili, pia ni jambo la kushangaza.
“Tunaheshimu uhuru wa kuabudu, lakini watu lazima wafuate utaratibu wa kuendesha kanisa, watu waliokamatwa walikuwa wanaendesha kusanyiko kinyume na sheria, tena ndani ya nyumba ya mtu ambayo wamedai ni kanisa lao, sisi kama watu wa usalama hatuwezi kuliacha kwa sababu mwaka 2000 kuna watu walichomwa moto kanisani kwa tukio kama hili”, amesema Kamishna Ngabirano.
Hata hivyo waume wa wanawake hao wamesema wake zao wameyakimbia makazi yao kwa takriban wiki mpaka sasa, na kwenda kuweka kambi kwa Bi. Kahabado kwa ajili ya maombi ya usiku na mchana.
Waliokamatwa ni Mch. Agrey Elias Mubangizi, Adah Kahabado, Christina Arinda, Hope Nyamurungi, Apohia Tumusiime, Anna Mugabirwe, Angela Nyangoma na Moreen Nyangoma.
Sijui kwanini wanawake wanadanganyika kirahisi iwe kwenye mapenzi, utapeli hata kwa manabii na wachungaji makanjanja
Wafuasi wa kibwetere si ndo yanafanana na haya.....Na waganda walivyo na misambwanda....ibada inapanda tu
Big up wachungaji wote, hakika mnazitendea haki nyoyo zenu
bila picha HII HABARI NI CRAP
Tena wanadai wanapona kweli kweli mchungaji ana upako sanaTarajieni miujiza tu kwa hao wanawake.
Habari kama hizi bila picha ni kuchafuana tuu.Polisi katika eneo la Rukiga nchini Uganda, wamewashikilia wanawake 7 na mchungaji wao, kwa kusali wakiwa watupu ndani ya nyumba ambayo wao wamedai kuwa ndio kanisa lao.
Watu hao ambao wamedai ni waumini wa kanisa la Full Gospel wamekutwa kwenye nyumba ya mmoja wao anayejulikana kwa jina la Adah Kahababo, huko Rukiga.
Akizungumzia kukamatwa kwao Kamishna wa makazi wa wilaya Emmy Ngabirano na Mkuu wa Polisi wa eneo hilo, wamesema kwamba watu hao ambao ni wake za watu, wameshangazwa na kitendo hicho, ambacho licha ya kuvunja maadili, pia ni jambo la kushangaza.
“Tunaheshimu uhuru wa kuabudu, lakini watu lazima wafuate utaratibu wa kuendesha kanisa, watu waliokamatwa walikuwa wanaendesha kusanyiko kinyume na sheria, tena ndani ya nyumba ya mtu ambayo wamedai ni kanisa lao, sisi kama watu wa usalama hatuwezi kuliacha kwa sababu mwaka 2000 kuna watu walichomwa moto kanisani kwa tukio kama hili”, amesema Kamishna Ngabirano.
Hata hivyo waume wa wanawake hao wamesema wake zao wameyakimbia makazi yao kwa takriban wiki mpaka sasa, na kwenda kuweka kambi kwa Bi. Kahabado kwa ajili ya maombi ya usiku na mchana.
Waliokamatwa ni Mch. Agrey Elias Mubangizi, Adah Kahabado, Christina Arinda, Hope Nyamurungi, Apohia Tumusiime, Anna Mugabirwe, Angela Nyangoma na Moreen Nyangoma.
Picha imezuiliwa mkuu na sio nzuri kwa maadiliHabari kama hizi bila picha ni kuchafuana tuu.