Mchungaji Mwasapile kuhamisha utoaji tiba

Ukiwa na imani nae, ukikosa imani nae huta zuia uponyaji, You are just a useless creature, :lol:Ushindwe na Ulegeeeeeee!

Hii ndio napinga kila siku. Jibu hoja sio kutukana! You call somebody 'USELESS'! What do u mean? Mkosoe kwa hoja!
 
Hii ndio napinga kila siku. Jibu hoja sio kutukana! You call somebody 'USELESS'! What do u mean? Mkosoe kwa hoja!

Sasa mtu kama ni kweli useless wewe ulitaka amuitaje, anaekuja kwa hoja atajibiwa kwa hoja, na anaekuja na ushuzi nae atajibiwa kwa ushuzi tu. tatizo liko wapi? kinawaume ehheeee! lazima muhame mjini mwaka huu na vikanisa vyote feki vinavyoishi kwa kutegemea sadaka za waumini kwa gia ya kuwafanyia miujiza lazima mtafunga makufuri makanisa yenu, babu kashatibuwa dili zenu.
 
Back
Top Bottom