Mchungaji Mwasapile kuhamisha utoaji tiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchungaji Mwasapile kuhamisha utoaji tiba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nyabhingi, Mar 22, 2011.

 1. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9,307
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  Mchungaji Mwasapile kuhamisha utoaji tiba Send to a friend
  Monday, 21 March 2011 21:06
  0
  digg

  Mchungaji Ambilikile Mwasapile
  Kizitto Noya na Venance George,Loliondo
  MCHUNGAJI Ambilikile Mwasapile amesema hivi karibu atahamisha utoaji wa tiba katika eneo analoishi sasa na kwenda sehemu ambayo itakuwa na nafasi kubwa zaidi, kwa lengo la kupanua huduma na kubadilisha mazingira anayoishi.
  Akizungumza juzi mchana kijini hapo, mchungaji huyo alisema yeye si mganga wa kienyeji, bali anatibu kwa miujiza ya Mungu na kusisitiza kwamba ili mgonjwa apone anatakiwa kuwa na imani katika huduma hiyo.
  "Nataka nieleze kidogo kuwa mimi si mganga wa kienyeji. Tiba yangu ni miujiza ya Mungu ambaye ameamua kuliweka neno lake katika mti huu ili lilete uponyaji.
  Ameamua kuukomesha ugonjwa wa Ukimwi duniani kabisa," alisema mchungaji huyo na kuongeza:
  “Kwa wale wanaoumwa Ukimwi wanapokunywa dawa hii wanapona kabisa. Tiba itaanza kujidhihirisha ndani ya siku saba. Lakini wadudu hata kama bado watakuwapo, hawatakuwa na nguvu na katika kipindi cha miezi mitatu, wadudu wote watakufa kabisa.
   
 2. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,217
  Likes Received: 919
  Trophy Points: 280
  Pia akumbuke kulipa kodi ya mapato TRA ,kwani anapata si chini 20 m kwa siku bana
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,517
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hesabu zilikusumbua sana shule wewe ?
   
 4. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,739
  Likes Received: 5,152
  Trophy Points: 280
  huyu ni mganga tu.wote waliokwenda kwake wako njiani kuchukiwa na wenzao kwakuwa kwa muda wote huo walikuwa wakiambukiza tu.huyu ni mchochezi......mganga wa kienyeje na mpiga ramri.
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,524
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 0
  huduma ya kiroho haina kodi.... kwani sadaka zinatozwa kodi...?
   
 6. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,475
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hiyo ramli aka "RAMRI" alipigia wapi?
   
 7. LD

  LD JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,015
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mmmmmmmhhhhhh!!!! Mi sijui!!!!
   
 8. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,369
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
 9. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mbona niliskia mashart asisogee mbali na mti. Tena kwa mita chache sana sasa niaje?
   
 10. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,675
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  ..Uliambiwa anafanya biashara?? Mwambie akatafute na leseni, TIN na VAT Registration basi..:ballchain:
   
 11. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 80
  me nimeanza kukosa imani naye!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 12. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  20,000,000/500= ???????????????? Ya kuambiwa changana na yako banaa
   
 13. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #13
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Niliwahi ku post kuwa huyu babu anaumwa na anahitaji tiba pale mirembe!haya tupo!!
   
 14. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #14
  Mar 23, 2011
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,197
  Likes Received: 477
  Trophy Points: 180
  Kwahiyo unatushauri nini?
   
 15. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #15
  Mar 23, 2011
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,197
  Likes Received: 477
  Trophy Points: 180
  Achana nae huyo hana cha kupost!!
   
 16. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #16
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wewe si unajiita great thinker??umepewa facts utafakari cha kufanya halafu unauliza ufanye nini.nenda kwa babu basi,hata kama si mgonjwa kanywe kinga!
   
 17. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #17
  Mar 23, 2011
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,197
  Likes Received: 477
  Trophy Points: 180
  Tena ukikaa vibaya atakupiga bao huyu babu,maana unaonekana muoga,unamuogopa,wakati ni mkombozi aliyetumwa na Mungu kufanya kazi ya mungu!!
   
 18. k

  kambipopote Member

  #18
  Mar 23, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwakuwa umezoea kwenda kwa waganga unafikiri kila kitu ni ugangaaa tuuuu
   
 19. k

  kambipopote Member

  #19
  Mar 23, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13

  Ukiwa na imani nae, ukikosa imani nae huta zuia uponyaji, You are just a useless creature, :lol:Ushindwe na Ulegeeeeeee!
   
 20. n

  naroka Member

  #20
  Mar 23, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hulazimishwi kumwamini
   
Loading...