Mchungaji Munishi amlipuwa Gwajima wa Kawe huko kwenye mitandao ya Meta

Gwajima Atuma Wafuasi wanitukane What's App FaceBook na Twitter.

Tafadhali Msimtukane. Mkishindwa kabisa kuvumilia Mwiteni BIBLIA WEWE au TENZI ZA ROHONI WEWE.

Au mwekee wimbo huu ausikilize.

MIMI NIMEMUULIZA

Kawe ya Askofu Gwajima mzee wa Connection iko vipi?

Alisema akipata ubunge kawe itakuwa jiji ndani ya jiji.

Sasa Umeme na Maji Dar ni bidhaa adimu.

Je Kawe eneo bunge la Askofu Gwajima wanatumia maji na Umeme kutoka Japan?

Au Askofu alipitiwa akaahidi yasiyotekelezeka?

Ametubu dhambi hiyo?

Mathayo 5:37
[37]Bali maneno yenu yawe Ndiyo, ndiyo; Siyo, siyo; kwa kuwa yazidiyo hayo yatoka kwa yule mwovu.

TENA NIKAMUULIZA KWA NINI ALIWAKATAZA WAFUASI WA DINI YAKE NA JIMBO LAKE KUCHANJWA WAKATI YEYE AMECHANJWA?

Namuuliza tu

Askofu Gwajima Anasema Eti chanjo ni mbinu ya wazungu kutumaliza watanzania?

Muulizeni mwilini mwake Gwajima kuna chanjo ngapi?

Zote siyo za Wazungu? Mbona yuko salama na chanjo zote hizo?

Anahoji mbona chanjo imechukua muda mfupi?

Kwani ile chanjo ya Magufuli anayoiamini Gwajima ya kubugia tangawizi na kufukiza bila vipimo ilichukua muda gani?

Au bado inafanyiwa utafiti?

Imefikia hatua gani?

MBONA ASIJIBU KWA HOJA KULIKO KUNITUSI MIMI BINAFSI?

Narudia Msimtukane Mtumishi wa Mungu Askofu Gwajima.

Mkishindwa kuvumilia matusi ya wafuasi wake, nyamazeni au muiteni Msalaba wa Yesu
😅😅😅😅Gwajiboy chali. Sasa hivi hana jeuri.
 
Dah!...
 
Back
Top Bottom