Mchungaji mtoto ezekiel stoddard ana miaka 11 na anaongoza kanisa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchungaji mtoto ezekiel stoddard ana miaka 11 na anaongoza kanisa

Discussion in 'Celebrities Forum' started by NEW NOEL, Sep 16, 2012.

 1. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 837
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Ana miaka 11 tu lakini ameshaanza kuwashangaza watu wengi kutokana na jinsi anavyohubiri neno la Mungu. Ezekiel Stoddard mtoto anayedai kuwa alipata wito wa kumtumikia Mungu miaka miwili iliyopita. Na ilipofika may mwaka huu akawekwa wakfu kuwa mtumishi wa Mungu katika kanisa la Fulliness of Time huko Maryland Marekani.

  POPOTE TZ
   
 2. hasason

  hasason JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 1,558
  Likes Received: 792
  Trophy Points: 280

  yote yanawezekana kwa aaminiye!
  Anaviinua vinyonge ili kuvifisha vinavyoonekana vyenye thamani!
   
Loading...