Mchungaji Msigwa umetukosea heshima wanandugu kwa kushindwa kutambua mchango wa fedha za familia

Aibu ya Msigwa...aibu yeenu??

Msingi wa kesi yote ni CHADEMA; Msigwa alipatikana ha hatia akiwa kazini kwa CDM akitimiza majukumu yake kama Mbunge na Mjumbe wa kamati kuu ya chama - Je nyie mnaojiita wana ndugu mliwasiliana ba chama chake kabla hamjafikia hayo maamuzi yenu?

Ndiyo hivyo sasa..umeshaambiwa kwamba mambo ya kifamilia hayanaga press conf...(Matangazo)

Poleni....hope next time ntakuwa makini kudandia train kwa mbele wakati limeshashika kasi.
 
Mbona mid nimemsikiliza hadi mwisho,sijasikia manenp yoyote yakitoka mdomoni kuwa hajathamini mchango was ndugu.
Kwanza amikili wazi kuwa ana undugu na magufuli-kilicho mshangaza in polepole kwenda kumpokea as if na yeye ni mwanafamilia.
 
Pole sana sio kila msaada ni msaada
Nimemsikiliza kwa makini ndugu yangu PETER MSIGWA kwenye hotuba yake na vyombo vya habari ambapo yeye na viongozi wengine wa Chadema waliokuwa gerezani wameachiwa huru baada ya kulipa faini.

Kilichonishangaza ni MSIGWA kushindwa kutambua mchango wetu wa kifedha uliokuwa unaratibiwa na kaka yake, BERNET MSIGWA ambapo kwa ndugu wa huku Iringa tulifanikiwa kukusanya jumla ya milioni 2 na baadae alikwenda kuomba msaada kwa mwanafamilia mwenzetu Mhe. Rais JOHN MAGUFULI ambaye alijitolea sh. milioni 38.

MSIGWA kwa kutanguliza maslahi ya Chadema umeikana michango yetu wanandugu, eti kwa sababu wakati kaka yake BERNET anashughulika kukutoa gerezani aliambatana na POLEPOLE ambaye kutokana na Mhe. Rais kutingwa na Majukumu alimuagiza ashirikiane nae.

Ndugu yetu PETER kumbuka kuna maisha baada ya Siasa, kuna muda utastaafu Siasa, utapata misiba(japo siombei hilo)na hata kufariki dunia, sisi ndugu zako ndio tutakaowajibika kukusitiri na kusaidia familia utakayoiacha Chadema hawata kuwa na wewe tena.

Ni raia yangu utajitokeza kwa wanandugu kuomba msamaha juu ya jambo hilo, ikumbukwe kwa mila na desturi zetu za kihehe mafadhaiko uliyosababisha kwetu yanaweza kukusababishia laana ya kushindwa ubunge kwenye uchaguzi na kufukuzwa uanachama na Chadema.

Ndimi ndugu yako,
Luvanda Ngurusavangi Msigwa
Igumbilo, Iringa.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
KWA NINI HAMKUSHIRIKIANA NA CHAMA CHAKE KUITAFUTA HIZO PESA? MLIAMUA KUINGIA SIASA WAKATI MWENENU ANAHANGAIKA GEREZANI. HALAFU WEWE SIYO NDUGU MZURI. UNAMUWAZIA NA KUMUOMBEA KIFO NDUGU YAKO! WEWE HUTAKUFA? MCH. MSIGWA AKIFA HATA MKIMWACHA CHAMA CHAKE NA NDUGU WENGINE WATAMZIKA. WEWE NI MCHUMIA TUMBO TU WA CCM. HUNA MAANA KABISA.
 
Mtu mwenyewe unakaa shamban igumbilo af unajifanya kumchangia mtu anaelipwa million 7 kwa mwezi
Nimemsikiliza kwa makini ndugu yangu PETER MSIGWA kwenye hotuba yake na vyombo vya habari ambapo yeye na viongozi wengine wa Chadema waliokuwa gerezani wameachiwa huru baada ya kulipa faini.

Kilichonishangaza ni MSIGWA kushindwa kutambua mchango wetu wa kifedha uliokuwa unaratibiwa na kaka yake, BERNET MSIGWA ambapo kwa ndugu wa huku Iringa tulifanikiwa kukusanya jumla ya milioni 2 na baadae alikwenda kuomba msaada kwa mwanafamilia mwenzetu Mhe. Rais JOHN MAGUFULI ambaye alijitolea sh. milioni 38.

MSIGWA kwa kutanguliza maslahi ya Chadema umeikana michango yetu wanandugu, eti kwa sababu wakati kaka yake BERNET anashughulika kukutoa gerezani aliambatana na POLEPOLE ambaye kutokana na Mhe. Rais kutingwa na Majukumu alimuagiza ashirikiane nae.

Ndugu yetu PETER kumbuka kuna maisha baada ya Siasa, kuna muda utastaafu Siasa, utapata misiba(japo siombei hilo)na hata kufariki dunia, sisi ndugu zako ndio tutakaowajibika kukusitiri na kusaidia familia utakayoiacha Chadema hawata kuwa na wewe tena.

Ni raia yangu utajitokeza kwa wanandugu kuomba msamaha juu ya jambo hilo, ikumbukwe kwa mila na desturi zetu za kihehe mafadhaiko uliyosababisha kwetu yanaweza kukusababishia laana ya kushindwa ubunge kwenye uchaguzi na kufukuzwa uanachama na Chadema.

Ndimi ndugu yako,
Luvanda Ngurusavangi Msigwa
Igumbilo, Iringa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo ndugu wa msigwa anayeweza kwenda benk kulipia,Kisha kwenda kuchukua listi ya mahakama na kupewa release order Kisha kwenda segerea kumtoa Msigwa ni Magufuli tu? Yaani hata mke wa msigwa au Jesca hawezi kufanya kazi hiyo hadi atumwe pole pole? Jamani mbona mnamdharirisha rais wetu?yaani familia yenye uwezo wa kutoa rais iwe mbumbumbu kwa kiwango hicho?Shame
 
Nimemsikiliza kwa makini ndugu yangu PETER MSIGWA kwenye hotuba yake na vyombo vya habari ambapo yeye na viongozi wengine wa Chadema waliokuwa gerezani wameachiwa huru baada ya kulipa faini.

Kilichonishangaza ni MSIGWA kushindwa kutambua mchango wetu wa kifedha uliokuwa unaratibiwa na kaka yake, BERNET MSIGWA ambapo kwa ndugu wa huku Iringa tulifanikiwa kukusanya jumla ya milioni 2 na baadae alikwenda kuomba msaada kwa mwanafamilia mwenzetu Mhe. Rais JOHN MAGUFULI ambaye alijitolea sh. milioni 38.

MSIGWA kwa kutanguliza maslahi ya Chadema umeikana michango yetu wanandugu, eti kwa sababu wakati kaka yake BERNET anashughulika kukutoa gerezani aliambatana na POLEPOLE ambaye kutokana na Mhe. Rais kutingwa na Majukumu alimuagiza ashirikiane nae.

Ndugu yetu PETER kumbuka kuna maisha baada ya Siasa, kuna muda utastaafu Siasa, utapata misiba(japo siombei hilo)na hata kufariki dunia, sisi ndugu zako ndio tutakaowajibika kukusitiri na kusaidia familia utakayoiacha Chadema hawata kuwa na wewe tena.

Ni raia yangu utajitokeza kwa wanandugu kuomba msamaha juu ya jambo hilo, ikumbukwe kwa mila na desturi zetu za kihehe mafadhaiko uliyosababisha kwetu yanaweza kukusababishia laana ya kushindwa ubunge kwenye uchaguzi na kufukuzwa uanachama na Chadema.

Ndimi ndugu yako,
Luvanda Ngurusavangi Msigwa
Igumbilo, Iringa.
Hao ndugu je waliwasiliana Na msigwa kabla ya kuomba msaada? Je msigwa aliwatuma wakaombe msaada?Kama akuwatuma awapaswi kumlaumu
 
Kosa lenu wanafamilia ni kushiriana na watesi wa Mchungaji Msigwa. Mchango wenu ulipaswa kwenda kule Msigwa alikorhaminiwa (chama). Na kwa vile mliona chama kinafanya juhudi za kuwatoa, lakini kwa kushiriana na watesi waliomweka mahabusu kabla kumfunga kwa kesi ya kubambika hakuwa sawa .

Ana utu gani huyo mlienda kumuomba msaada ?!. Angelikuwa na utu , angeweka mazingira mazuri ya watu kufanya siasa, ambayo ndiyo ilimuingiza madarakani . Leo wabunge wote wa majimbo wa upinzani wasiomuunga mkono juhudi, wana kesi za kutengenezwa za uchochezi .

Undugu ubaki kuwa undugu. Lakini kazi nayo ibaki kuwa kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiherehere gani kiliwapeleka huko bila kuwasiliana na Chama? Aibi yenu hiyo. Na inafahamika wazi kuwa wazo hili limebuniwa na vilaza wa Lumumba hao ndugu wamechezeshwa tu ngoma wasiyoijua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule mjomba amewekwa mbele ya kamera wala hajui kinachoendelea. Lakini kuna mtu ni mwigizaji zaidi ya marehemu Kanumba
 
Nimemsikiliza kwa makini ndugu yangu PETER MSIGWA kwenye hotuba yake na vyombo vya habari ambapo yeye na viongozi wengine wa Chadema waliokuwa gerezani wameachiwa huru baada ya kulipa faini.

Kilichonishangaza ni MSIGWA kushindwa kutambua mchango wetu wa kifedha uliokuwa unaratibiwa na kaka yake, BERNET MSIGWA ambapo kwa ndugu wa huku Iringa tulifanikiwa kukusanya jumla ya milioni 2 na baadae alikwenda kuomba msaada kwa mwanafamilia mwenzetu Mhe. Rais JOHN MAGUFULI ambaye alijitolea sh. milioni 38.

MSIGWA kwa kutanguliza maslahi ya Chadema umeikana michango yetu wanandugu, eti kwa sababu wakati kaka yake BERNET anashughulika kukutoa gerezani aliambatana na POLEPOLE ambaye kutokana na Mhe. Rais kutingwa na Majukumu alimuagiza ashirikiane nae.

Ndugu yetu PETER kumbuka kuna maisha baada ya Siasa, kuna muda utastaafu Siasa, utapata misiba(japo siombei hilo)na hata kufariki dunia, sisi ndugu zako ndio tutakaowajibika kukusitiri na kusaidia familia utakayoiacha Chadema hawata kuwa na wewe tena.

Ni raia yangu utajitokeza kwa wanandugu kuomba msamaha juu ya jambo hilo, ikumbukwe kwa mila na desturi zetu za kihehe mafadhaiko uliyosababisha kwetu yanaweza kukusababishia laana ya kushindwa ubunge kwenye uchaguzi na kufukuzwa uanachama na Chadema.

Ndimi ndugu yako,
Luvanda Ngurusavangi Msigwa
Igumbilo, Iringa.

Poleni.
Ninawapongeza wanafamilia kwa nia na moyo wenu mzuri wa kumsaisia ndugu yenu.
Kwa mawazo na mtazamo wangu, ninyi mlifanya kwa nia nzuri, ila kuna watu walitaka kutumia hiyo nia yenu nzuri ili wapate njia ya kutimiza nia yao ovu, na ndiyo maana Peter aliona hilo na kuamua kutokukubaliana na watu hao.

Mfano:
Kwa nini Mkuu alitoa magari ya ikulu na kumpa kiongozi wa chama kwenda kumtoa kiongozi wa chama pinzani? Je ni kwamba kwenye chama cha Msigwa hapakuwepo na magari wala viongozi au wawakilishi wa viongozi ambao wangeweza enda kumpokea piter alipo toka gerezani?

Kwa nini ccm na uongozi wao waliandaa waandishi wa habari wakati kulikuwepo na waandishi wa habari wa vyombo vya habari hapa nchini?

Hayo na mengine yalitosha kabisa kuonesha si kuwa alilipiwa kwa nia njema bali walitaka kumfanya chambo cha kuwapumbaza watu.
 
Nimemsikiliza kwa makini ndugu yangu PETER MSIGWA kwenye hotuba yake na vyombo vya habari ambapo yeye na viongozi wengine wa Chadema waliokuwa gerezani wameachiwa huru baada ya kulipa faini.

Kilichonishangaza ni MSIGWA kushindwa kutambua mchango wetu wa kifedha uliokuwa unaratibiwa na kaka yake, BERNET MSIGWA ambapo kwa ndugu wa huku Iringa tulifanikiwa kukusanya jumla ya milioni 2 na baadae alikwenda kuomba msaada kwa mwanafamilia mwenzetu Mhe. Rais JOHN MAGUFULI ambaye alijitolea sh. milioni 38.

MSIGWA kwa kutanguliza maslahi ya Chadema umeikana michango yetu wanandugu, eti kwa sababu wakati kaka yake BERNET anashughulika kukutoa gerezani aliambatana na POLEPOLE ambaye kutokana na Mhe. Rais kutingwa na Majukumu alimuagiza ashirikiane nae.

Ndugu yetu PETER kumbuka kuna maisha baada ya Siasa, kuna muda utastaafu Siasa, utapata misiba(japo siombei hilo)na hata kufariki dunia, sisi ndugu zako ndio tutakaowajibika kukusitiri na kusaidia familia utakayoiacha Chadema hawata kuwa na wewe tena.

Ni raia yangu utajitokeza kwa wanandugu kuomba msamaha juu ya jambo hilo, ikumbukwe kwa mila na desturi zetu za kihehe mafadhaiko uliyosababisha kwetu yanaweza kukusababishia laana ya kushindwa ubunge kwenye uchaguzi na kufukuzwa uanachama na Chadema.

Ndimi ndugu yako,
Luvanda Ngurusavangi Msigwa
Igumbilo, Iringa.
Mkaamua kushirikiana na waliomshitaki na kumfunga ndugu yenu. Ndugu anayeungana na *watesi* wangu baada ya kuniumiza naye ni sehemu ya watesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muandiko wa CHAKUBANGA.
FB_IMG_1583233843914.jpg
 
Back
Top Bottom