Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,471
- 23,743
Eti eeeeeeh ? ๐๐๐๐๐๐Umekasirika kuujua ukweli kwamba Msigwa alikuwa muuza mitumba?
Tena kwa taarifa yako hata kisiasa Msigwa alibebwa sana na marehemu Gervas Kalolo wa pale mashine mbili stendi!