Mchungaji Msigwa: Rais Magufuli huenda kanisani kama muumini au Rais?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,627
218,056
Haya Hapa

@pmsigwa_ ( 640 X 640 ).jpg
 
Huo ndio mfano bora kabisa wa kuchanganya dini na siasa! Ila kwa kuwashutumu wengine; hawajambo! Katika Liturgy ya Kanisa Katoliki hakuna mahali popote pa "Rais kuzungmza/kuhubiri" wakati wa ibada tena Yesu akiwa mbele pale katika maumbo ya mkate na divai.
 
Hivi Uchungaji wa Msigwa huwa ni kisiasa au kikanisa?
Msigwa alikuwa muuza mitumba pale Miyomboni, alivyokuja Mrema ndio akawa anamuita kiutaniutani " mchungaji " na jina hilo likaenea

Kaka yake ndio Mchungaji na ana Kanisa la kilokole Mtwivila!
 
Back
Top Bottom