Mchungaji Msigwa awaongoza wafuasi wa CHADEMA kwenye mazishi ya Hans Poppe mkoani Iringa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,724
141,585
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa mchungaji Msigwa leo aliwaongoza wafuasi, wapenzi na wanachama wa chama hicho kwenye mazishi ya hayati Zakaria Hans Poppe yaliyofanyika Makanyagio manispaa ya Iringa.

Msigwa amesema Hans Poppe hakuwa mbaguzi na aliwapenda watu wote.

Source: ITV habari

Mungu ni mwema wakati wote.
 
Nikisikia neno Msigwa kwa maana ya hako kajamaa nakua kama nimeona kamjusi tu. Tena msimuite mchungaji huyo hana uchungaji wowote ni muhuni tu

Ndio majuzi amekapiga mashine katoto kadogo au?
 
Back
Top Bottom