Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,273
- 6,637
Chama kimemtosa Mdude? Aibu kubwa, mdude mlimuingiza choo cha akina dada. Leo hii hata kumuona hamtaki.Ndio maana kesi haisimamiwi na chama. Au unakonda? Lile jizi la kura na dhalimu ndio liliagiza Mdude abambikiwe kesi.