Mchungaji Msigwa amemfunika kabisa mbunge wa Kalenga Mh. Mgimwa Mkoani Iringa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
26,338
Points
2,000

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
26,338 2,000
Nipo katika utalii wa ndani mbugani Ruaha na la muhimu kabisa ni kutembelea maeneo ya kihistoria ya Isimila na Lugalo nikihadithiwa habari za maisha ya Chifu Mkwawa.

Cha ajabu wadimi (vijana) wa hapa Kalenga wanamrefer mchungaji Msigwa kama ndiye mbunge wao badala ya Godfrey Mgimwa aliyechaguliwa kisheria.

Bado sijajua tatizo hasa ni nini yawezekana ni " kidada" tu cha hawa wadimi au mimi ndio siujui mpaka wa ubunge labda Mgimwa yuko Tanangozi na Ifunda.

Nitajaribu kumtafuta DC Richard Kasesela anifafanulie kwanini kule Uchifuni wanamtambua Msigwa kama mbunge wao!

Maendeleo hayana vyama!
 

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
26,338
Points
2,000

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
26,338 2,000
Ms
Msigwa amekuwa msemaji wa wananchi wa kalenga lakini muundo wa kanda kupitia katiba ya chadema inamfanya kuwa mwakilishi wa nyanda za juu kusini.
Kwahiyo anawasemea wana kalenga kwa nafasi yake ya mwenyekiti wa kanda lakini siyo ya ubunge?!

Hawa wadimi wanamtambua Msigwa kama mbunge wao!
 

samurai

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2010
Messages
7,209
Points
2,000

samurai

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2010
7,209 2,000
Naona juhudi za Mh Kingwangala zimekufanya nawewe kuwa mtalii.. Hongera Mh Kingwangala kwa kuwajali wanyonge..
 

sammosses

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2011
Messages
1,476
Points
2,000

sammosses

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2011
1,476 2,000
Kama
Kwahiyo anawasemea wana kalenga kwa nafasi yake ya mwenyekiti wa kanda lakini siyo ya ubunge?!

Hawa wadimi wanamtambua Msigwa kama mbunge wao!
siku moja nikiwa iringa nilihudhuria mkutano wa hadhara WA Mh. Msigwa akisikiliza kero za wananchi, mzee mmoja aliyepata nafasi ya kusema kero yake alimuomba Msigwa awasilishe kilio chao cha maji kwa kuwa mbunge wao haonekani bungeni, na ubunge alipewa kama zawadi.
 

Forum statistics

Threads 1,390,778
Members 528,266
Posts 34,061,642
Top