Sasa kafanya homework kwa miaka zaidi ya sita kujua kinana sio jangili? I am sure kuna homework zingine hajamaliza.Kinana alikuwa anachafuliwa na Selemani Nchambi
Tuendelee kusubiri.
Sasa kafanya homework kwa miaka zaidi ya sita kujua kinana sio jangili? I am sure kuna homework zingine hajamaliza.Kinana alikuwa anachafuliwa na Selemani Nchambi
Wanataka wampe kinana agombee Urais
Wameanza kumsafisha
Uongo ndio dhambi na ukosefu wa maadili kwa kiongozi. Alipaswa atangaze kujiuzulu nafasi zake zote katika jamiiKwani kuomba msamaha ni dhambi mbona aliyempiga risasi lissu yuko kijijini kaukimbia mji.
Si ya uongo kumzushia mtu muelewa ujue utapambana na mahakama ukiona kimya kuna harufu ya ukweli ila ili ujue siasa inatakiwa uwe na upeo mkubwa sana wa akili hapo siasa imechukua mkondo wakeKuomba radhi ni uungwana japo ilitakiwa afanye hivyo kabda ya hukumu ya mahakama kuu.
Hii pia inatoa taswira kwamba madai mengi ya wanasiasa yanakua ya uongo kwa ajili ya malengo ovu au kupata umaarufu wa kisiasa. Bahati mbaya sana malengo yao hayo huumiza watu kwa kuwavunjia heshima zao katika jamii, heshima ambazo wengine wamejijengea kwa miaka mingi
Uongo ndio dhambi na ukosefu wa maadili kwa kiongozi. Alipaswa atangaze kujiuzulu nafasi zake zote katika jamii
Uongo huu ulimpatia gari ya kifahari V8
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakusema yeye ila aliambiwa hivyo na watu wa Bandari kutokana na kukosekana kwa nyaraka za mzigo..mbona bwana mkubwa alisema UONGO kuwa vichwa vya treni alivyovikuta bandarini vilikuwa havina mwenyewe?
..wakati ukweli ni kwamba vichwa hivyo vilinunuliwa na serikali ya JK?
..bwana mkubwa mpaka leo hajakiri UONGO wake.
Lisu atagombea ubelgiji.