Mch Msigwa bhana......hujui nyuma ya pazia, ungeacha tu kuomba radhi, wala wafipa wa huku ndani wasiombwe radhi.Natoa tamko la kumuomba radhi Abdulrahman Kinana, ikumbukwe nilikuwa na kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania iliyofunguliwa na Kinana kutokana na matamshi niliyowahi kuyatoa kumuhusisha na ujangili. Ninakiri tuhuma hizo hazikuwa za kweli, zilikuwa na malengo potofu"
View attachment 1454077
Kinana For Change ni Mtu SafiHalafu nyie mkasemaje?
Jr
Mabunduki 10 yote ya nini? Labda aliachiwa na babu zake. Mahakama itaamua.Kinana alikuwa anachafuliwa na Selemani Nchambi
Ninachokuambia Msigwa amehakikishiwa jimbo baada ya mpinzani wake kurip.Je ikiwa vice versa utasemaje Jo?
Jr
Kinana For Change ni Mtu Safi
Ndio mgombea wenu wa urais huyo huoni mambo yameshaanza kunoga..?Kinana ni terrorist/ hila kumuomba mtu msamaha sio lazima uwe na hatia kinana ni terrorist
Ndio mgombea wenu wa urais huyo huoni mambo yameshaanza kunoga..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwashee Chadema inaenda kuwa kama TLP...... Tena afadhali hata Lyatonga atawaachia kale kaghorofa wanachama wake!
Sasa kwanini unaita mgombea wako wa urais kuwa ni gaidi?Sawa mkuu Tatizo liko wapi labda mkimpa sumu kama mangula
Sesten Zakazaka, kwa hoja yako hii- Mwezi wa Ramadhan 2020 umekamilikaKuomba radhi ni uungwana japo ilitakiwa afanye hivyo kabda ya hukumu ya mahakama kuu.
Hii pia inatoa taswira kwamba madai mengi ya wanasiasa yanakua ya uongo kwa ajili ya malengo ovu au kupata umaarufu wa kisiasa. Bahati mbaya sana malengo yao hayo huumiza watu kwa kuwavunjia heshima zao katika jamii, heshima ambazo wengine wamejijengea kwa miaka mingi
Alhamdulillah🤲🤲🤲Sesten Zakazaka, kwa hoja yako hii- Mwezi wa Ramadhan 2020 umekamilika