Mchungaji Mitimingi yeye ni mchungaji wa mapenzi tu? Wito wake uko kwenye mapenzi?

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,052
12,905
Salamu wakuu.

Kuna huyu mchungaji anaitwa Mitimingi, naomba kujua yeye wito wake ni kwenye mapenzi tu na mahusiano?

Sijawahi kusikia mahubiri yake nje ya mapenzi na mahusiano, kuzungumzia wanaume jinsi wanavyothamini ngono, kuonyesha kua wanaume akili yao inawaza ngono muda wote nk.

Je waumini wake ni watu wenye changamoto ya mapenzi na mahusiano tu? Hawana changamoto nyingine, hawana haja ya kwenda mbinguni nk?
 
Kuna huyu mchungaji anaitwa Mitimingi, yeye wito wake ni mapenzi na mahusiano tu? Mbona sijawahi kusikia akiwasomea waumini wake vifungu vya dhambi na kwenda mbinguni, yeye ni mapenzi tuuuuu.

Alafu yeye kwenye mafundisho yake ni wanaume tu ndio wanaumiza wanawake, maana naona kila siku anaongelea wanaume tu kuumiza wanawake. Ni kuponda wanaume tu alafu unashangaa kanisani kwake kuna wanaume.
 
Hafundishi kibiblia, hufundisha kwa kanuni na mitazamo ya kidunia. Mimi humchukulia kama motivational speaker na si mchungaji. Pia nishaacha siku nyingi kumsikiliza, audience yake kubwa ni wanawake.
 
Kuna huyu mchungaji anaitwa Mitimingi, yeye wito wake ni mapenzi na mahusiano tu? Mbona sijawahi kusikia akiwasomea waumini wake vifungu vya dhambi na kwenda mbinguni, yeye ni mapenzi tuuuuu.

Alafu yeye kwenye mafundisho yake ni wanaume tu ndio wanaumiza wanawake, maana naona kila siku anaongelea wanaume tu kuumiza wanawake. Ni kuponda wanaume tu alafu unashangaa kanisani kwake kuna wanaume.
ujasiriamali mkuu, anaangalia mahitaji ya wateja!
 
Mkuu kwa maisha ya sasa ili upate wateja/ufanikiwe lazima u specialize, hv wewe unaponda CCM hapo hapo unaponda UKAWA unategemea nini? Ujipe kura mwenyewe? Lazma umuue mmoja, either ulale kwenye ukweli ulidhishe moyo/nafsi yako au uwe mnafiki haswa upate cha kupeleka pangoni.

Halaf hii ni fursa kwako ya kuwaponda wanawake maana gap lipo wazi hilo mkuu changamkia.
Maisha ya leo n ngumu sana kua mkweli halaf kupata haki na unachokitaka at once,
 
Kuna huyu mchungaji anaitwa Mitimingi, yeye wito wake ni mapenzi na mahusiano tu? Mbona sijawahi kusikia akiwasomea waumini wake vifungu vya dhambi na kwenda mbinguni, yeye ni mapenzi tuuuuu.

Alafu yeye kwenye mafundisho yake ni wanaume tu ndio wanaumiza wanawake, maana naona kila siku anaongelea wanaume tu kuumiza wanawake. Ni kuponda wanaume tu alafu unashangaa kanisani kwake kuna wanaume.
....wanawake ni fursa hata mke wa mtu ukitaka kumtafuna mwambie maneno anayopenda kusikia sasa huyo ndugu
anajua wanawake wamevurugwa na mengi sasa ili awadake mambo ndio kama hivyo siunaona kwenye semina zake idadi ya Wamama inavyokuwa kubwa
 
Kuna huyu mchungaji anaitwa Mitimingi, yeye wito wake ni mapenzi na mahusiano tu? Mbona sijawahi kusikia akiwasomea waumini wake vifungu vya dhambi na kwenda mbinguni, yeye ni mapenzi tuuuuu.

Alafu yeye kwenye mafundisho yake ni wanaume tu ndio wanaumiza wanawake, maana naona kila siku anaongelea wanaume tu kuumiza wanawake. Ni kuponda wanaume tu alafu unashangaa kanisani kwake kuna wanaume.
Alishajitanabaisha kuwa yeye ni mwalim na mtaalam wa saikoloji sasa kwa sasa anajiita tena mchungaji hapo ma mimi ndio ninapomshangaa
 
Kuna huyu mchungaji anaitwa Mitimingi, yeye wito wake ni mapenzi na mahusiano tu? Mbona sijawahi kusikia akiwasomea waumini wake vifungu vya dhambi na kwenda mbinguni, yeye ni mapenzi tuuuuu.

Alafu yeye kwenye mafundisho yake ni wanaume tu ndio wanaumiza wanawake, maana naona kila siku anaongelea wanaume tu kuumiza wanawake. Ni kuponda wanaume tu alafu unashangaa kanisani kwake kuna wanaume.
Weka japo ka KLIP tu ka mahubiri yake wengine hatujamsikia mkuu
 
Mkuu tupe hata kionjo cha clip. wengine hatujawahi hata kumsikia.
 
We umesikia mm nasali pale Sasa mafundi yapo mengi tatizo mnasikia ya watu njoo Tena kila juma4 Kuna somo la HEKIMA linaendelea pale Ni ghala la Chakula Cha uzima masomo yapo ya kutosha we kwenye mitanda Ni package tu njoo upate neno live live pale tunajegwa kiroho na kimwili Kama hujui ijumaa siku ya maombi tu karibu jumpi2 ibada zipo mbi2 saa1 mpa saa4 saa4 mpak6 mchana karibu WCC mbenzi beach kituo rafia mbele ya africana
 
Back
Top Bottom