Mchungaji Mastahi: Askofu Gwajima ana akili sana, amesema yuko tayari kwa yote isipokuwa kifo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,891
141,824
Mchungaji Mastahi wa KKKT Kimara amesema anamkubali Askofu Gwajima kwa sababu ana akili na hasa anaposema yuko tayari kwa yote isipokuwa kifo.

Mastahi anasema mkristo usikubali kupokea taarifa mbaya mbaya ndani ya moyo wako bali pokea taarifa njema. Leo watu wengi wamekuwa na ndimi mbili leo akiwa na huyu anaimba hivu na kesho akiwa na yule anasema vile.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
 
Back
Top Bottom