Mbassa jr
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 1,234
- 3,172
Neno linasema tusihukumu tusije tukahukumiwa! Lakini pia neno linatuambia watakuja makristo wauongo wengi tu nyakati hizi za mwisho Lakini Roho mtakatifu tuliepewa atatusaidia kuzipambanua roho za makristo na roho za walioitwa kwa ajili ya kazi ya Bwana,Kwahiyo muacheni bwana masanja afanye kile anacho kiamini na wala tusimhukumu,Hivi kama angefungua danguro ama cassino wengi nadhani wange mpongeza humu lakini kama ni hicho alichokiitiwa na anahubiri sawasawa na Neno wapo watakao okoka kwa kulisikia na kuliamini Neno,lakini pia kuwa mchungaji,mtume,nabii au hata nani haikupi ww kibali cha kwenda peponi maana peponi watu hawaingii kwa vyeo vyao wala nyadhifa zao,so hata yeye anakazi kubwa pia kutengeneza njia zake maana ni mwanadamu tena yeye ana kazi mbili kwnza kuchunga na kulisha kundi atakalopewa na Bwana na pili njia zake yeye mwenyewe,Hao wajinga waliwao ni wale wasiosoma Neno na kukaa katika Neno na kwl wataliwa sana mpk siku wakija kujitambua itakuwa ishakuwa too late.