Mchungaji Mama Rwakatare kutangaza kununua vitambulisho vyote vya machinga Wilaya ya Kilombero na kuvigawa bure. Je, hii si Rushwa?

usinijibu hivyo

JF-Expert Member
Nov 7, 2017
248
327
Kutangaza kwako kununua vitambulisho vyote vya machinga Wilaya ya Kilombero jana na kuvigawa Bure kuna maana gani kuelekea chaguzi ya serikali za mitaa? Na uchaguzi Mkuu Mwakani?huku ikiarifiwa unataka kugombea jimbo la Mlimba lenye Mbunge wa sasa Bi Suzani Kiwanga wa CHADEMA?!

Kwa maoni yangu:
1.Kunaondoa maana halisi ya Mhe Rais JPM kutufundisha na kujenga Tabia ya Wanachi kulipa kodi na kuchangia maendeleo ya nchi yao.

Je utawanunulia kila mwaka?, na kama kuna wajasiliamali wado wasioweza kununua inamaana Rais katudanganya ama kadanganywa?
Kwanini Mikoa mingine wanunue kasoro Wilaya ya Kilombero?

2.Yawezekana ni kujirudisha kwa Mhe Rais kwani alirudisha shamba ulilonunua lenye miundo mbinu ya kutengeneza vifaa vya chuma kama majembe,panga,shoka nakadhalia.na inadaiwa ulitumia adhi hiyo kukopea na kutowekeza chochote katika eneo hilo.

Mimi ushauri wangu kwako na viongozi wengine wa dini ukizingatia wewe umekuwa mbunge viti maalumu kwa vipindi viwili sasa ni kukaa mbali na siasa ili uweze kujenga imani ya kanisa lako kwani waumini wako si wote wanaimani ya chama kimoja..
Vinginevyo inaweza onekana unatumia siasa kuficha mambo yako yasio masafi.

Niliona kwenye Azam Tv Mwaka jana Mhe Rais akikukatalia Mchango wako wa Milioni kumi ulioutoa mbele yake kusaidia ujenzi wa Tuta katika mto huko Morogoro Mlimba,

na Mhe Rais kuelekeza watu wahame bondeni kwani maji hayazuiliki , zilikuwa salamu tosha kwako baada ya kukunyanganya pia hilo shamba lenye kiwanda, kuwa kuna kitu Mhe Rais anakijua kwako ambacho wewe hautaki kijifikirisha..

CHADEMA na vyama vingine vikueleweje Mchungaji wewe?

=======

MCHUNGAJI LWAKATARE AVUNJA NGOME ZA CHADEMA KILOMBERO

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Kanda ya Kilombero Mh Mchungaji Mama Dr Gertrude Lwakatare Leo Tarehe 27 April 2019 Amefanya Ziara Ya Ufunguzi wa Mashina ya CCM Katika Kata Tisa za Halmashauri ya Mji wa Ifakara Wilaya ya Kilombero.

Ambapo Katika Ziara Hiyo Aliambatana na Kamati ya Siasa Ya Mkoa wa Morogoro ikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa Ndugu Innocent Kalogeris.

Mwenyekiti Mwenyeji Wilaya Ya Kilombero Ndugu Clarance Mgomba Pamoja na Kamati ya Siasa Wilaya ya Kilombero.

Mh Mbunge wa Viti Maalum Gertrude Lwakatare Amefungua Mashina Matano Yakiwemo Shina la Saba Saba Kata ya Katindiuka, Shina la Vijana UVCCM Mchangani Kata ya Mlabani, Shina la Wakereketwa wa CCM Kiungani Kata ya Ifakara Mjini, Shina la Vijana Mangwale B, Kata ya Ifakara Mjini na Shina la Wakereketwa la Minalani Kata ya Viwanja Sitini Ifakara.

Katika Ziara Hiyo na Ufunguzi wa Mashina Hayo Pia Wanachama na Wakereketwa wa Vyama Vya Upinzani Wamerudi Chama Cha Mapinduzi.

Akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Mashina Hayo Mh Lwakatare Amewataka Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Kuyatumia Mashina Hayo Kujenga Umoja, Mshikamano, Upendo na Kujiletea Maendeleo.

Pia Ameelezea Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015-2020 Wilaya ya Kilombero na Kazi Nzuri Ya Rais Dkt.John Magufuli Anayoifanya ikiwemo Ujenzi wa Daraja la Kilombero, Elimu Bure, ujenzi wa Barabara ya Kidatu - Ifakara, Ujenzi wa Vituo Vya Afya na Ukusanyaji wa Mapato kwa Wingi.

Mh Mbunge Lwakatare Pia Leo atafanya Mkutano Mkubwa wa Kuzungumza na Wananchi Katika Stendi kwa Makali Ifakara Mjini Kuelezea Utekelezaji wa Ilani ya CCM Katika Wilaya Ya Kilombero.

Huyu mama siasa haimfai kabisa,hata anapokuwa bungeni hana mvuto wowote kwa kuwa analazimisha kitu ambacho siyo fani yake, anaweza akawa anamkosea Mungu pamoja na uchungaji wake pasipo kujua, Bwana Yesu aliposema huwezi ukawatumikia mabwana wawili hakuwa mjinga.
 
hiyo ni rushwa ya kichungaji.
 
Ni Takrima siyo Rushwa,acha awasaidie. Imagine mtu anauza mchicha mtaji shilingi elfu tano then anaambiwa anunue kitambulisho shilingi elfu ishirini.
 
That is just a way of moral support and establishing her name. Politics is a game you need to know how to play it.
 
Tunamsubiri kwa hamu sana , tunacho kitabu cha uchafu wake wote , tulimsitiri kutokana na umri wake , lakini kwa vile kakanyaga waya basi kaeni mkao wa kula.

Hatutaki lawama .
 
Siyo rushwa hiyo ni takrima tuu ya business support program kwa machinga. Ni Jambo jema, jambo zuri.
P
kha.. Sasa hapo mkuu huoni kama tunaendelea kujenga tabia za kukimbia kulipa kodi kwa watanzania kwa kisingizio cha biaashara dogo.

Mimi nafikiri lengo la muheshimiwa rais lilikuwa ni kutujengea watanzania tabia ya kulipa kodi hata kama tubiashara vyetu ni kidogo.ila kodi ni muhimu zaidi.

Kwanini hizo pesa asingewapa kuongeza mitaji yao ila kodi ya iliwapasa watoe wao wenyewe kwa mikono yao.
 
Wasalaam, kwa mujibu wa katiba 1977 na sheria ya vyama vya siasa 1992 mikutano ya hadhara na maandamano ya amani nihaki na halali kwa vyama vya siasa.

Sote tunakumbuka mikutano ya vyama vya siasa vya upinzani imepigwa marufuku na mwenyekiti wa ccm taifa, na imeruhusiwa kwa chama kimoja tu yaani ccm. Huku ni kuvunja katiba 1977 na kuidharau sheria ilioanzisha vyama vya siasa 1992, hii inaonyesha ccm wapo juu ya sheria na ni wakipee kitu ambacho ni kufuru.

Tujiulize inakuaje mbunge ambae kachaguliwa na wananchi wa kilombero anazuiwa asifanye mikutano jimboni mwake, na mh rwakatale mbunge viti maalumu ccm anaruhusiwa kufanya kilichopigwa marafuku na mwenyekiti wake.

Je inawezekana ni kweli ccm wanatawala kwa double standard? Maana naona hakuna separation of power màana kinachokatazwa ndicho kinachofanyika, police wako wapi? Hawakupata intellegensia? Police wetu wanalipwa kwa kodi zetu, wanamtumikia nani? Chama au watanzania?
 
Mathayo 6:24
Hakuna mtu anayeweza kuwatumikia mabwana wawili, kwa sababu, ama atamchukia mmoja na kumpenda mwingine, au atamthamini mmoja na kumdharau mwingine. Huwezi kumtumikia Mungu na mali.
-------
kwa kesi hii ni Mungu na mwenyekiti wa chama cha kikomunisti ambaye kiuhalisia ni mungu mtu
 
Bila shaka unamuongelea Mchungaji na Askofu Dr.Getrude Lwakatare (mb) viti maalum kutoka mkoa wa Morogoro! Mama wa kanisa la mlima wa moto na mmiliki wa shule za St.Mary's Tanzania. Hao ndiyo wanaojiona wana haki kuliko wengine wote nchini mwetu.
 
Back
Top Bottom