Mchungaji Lusekelo: Chadema walipata kura milioni 6 za urais 2015 hivyo wakiruhusiwa mikutano watahatarisha amani

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,598
141,414
Mchungaji Lusekelo aka mzee wa Upako amesema ni sahihi kabisa serikali kuzuia mikutano ya kisiasa wakati huu.
Lusekelo anasema chukulia mfano Chadema waliopata kura milioni 6 na ushee wakiruhusiwa kufanya mkutano na hawa wapiga kura wao wote wakaingia barabarani....je kutakuwa na amani hapo?

Kadhalika mchungaji Lusekelo ameiomba serikali kupiga marufuku mambo ya bongo movie kwani yanakwenda kinyume na utamaduni wetu na yanachochea uharibifu wa maadili.
Ametolea mfano watoto wadogo kushirikishwa kwenye sinema kinyume na sheria.

Mchungaji Lusekelo alikuwa akizungumza na waandishi wa habari kutoka media mbali mbali Kanisani kwake ubungo, jijini Dsm.
Source Star tv

My take; Zile kura milioni 6 ni za Chadema au Lowassa?!?

Maendeleo hayana vyama!
 
Tanzania haina utaratibu wa Mgombea binafsi, hivyo kura ni za CHADEMA.

Maendeleo hayana vyama..!!!
 
Huyu alisha jidhihirisha ya kuwa ni Kada wa Kijani hivyo Maneno yake ya kipumbavu yapuuzwe tu sababu ,yapo kinyume kabisa na Katiba ya Nchi.Amepoteza uwezo wa kufikiri kabisa kwa Sababu ya kipumbavu aliyo itaja ili kuhalalisha alicho kisema.
 
Mleta Taarifa na wewe umeuliza Swali sawa sawa na wa Pumbavu wengine ...
Hahahaa.......mbona povu!

Hata Sugu pale bungeni hutamba " yeye " ndiye mbunge aliyepata kura nyingi kuliko wote......hasemi ni Chadema!
 
Yeah,

Yuko sahihi Sana, kwamba Upinzani una nguvu Sana kwa zile kura za 2015, so ukiachiwa free unaweza kuchukua nchi 2020, so dawa ni kuuminya tu.

Maendeleo hayana Vyama
Kama unaminywa ili kulinda amani kuna tatizo?!
 
siasa, uongozi na utawala zina wenyewe. hapo kwenye maandamano ya kuhatarisha amani nipo naye pamoja, ili amani iendelee kutamalaki hatuna budi kukaa mbali na vichocheo vya uharibifu wa amani na hapa ndipo mch. alipomaanisha.

kwa upande wa watoto kukatazwa kushiriki kwenye sinema, nakubaliana naye kutokukubaliana. watoto wanaposhirikishwa kukuza vipaji vyao wangali wadogo inawasaidia kuwa msaada wa kuendeleza kipaji hiko ukubwani hivyo serikali haina budi kuweka sheria za kimaadili kuwalinda watoto na si kupiga marufuku moja kwa moja. pia, sio watoto wa kuigiza tu bali hata watoto wa majumbani wanatakiwa kulindwa kwa kuweka udhibiti katika vipindi vya tv hususani miziki
 
Mchungaji Lusekelo aka mzee wa Upako amesema ni sahihi kabisa serikali kuzuia mikutano ya kisiasa wakati huu.
Lusekelo anasema chukulia mfano Chadema waliopata kura milioni 6 na ushee wakiruhusiwa kufanya mkutano na hawa wapiga kura wao wote wakaingia barabarani....je kutakuwa na amani hapo?

Kadhalika mchungaji Lusekelo ameiomba serikali kupiga marufuku mambo ya bongo movie kwani yanakwenda kinyume na utamaduni wetu na yanachochea uharibifu wa maadili.
Ametolea mfano watoto wadogo kushirikishwa kwenye sinema kinyume na sheria.

Mchungaji Lusekelo alikuwa akizungumza na waandishi wa habari kutoka media mbali mbali Kanisani kwake ubungo, jijini Dsm.
Source Star tv

My take; Zile kura milioni 6 ni za Chadema au Lowassa?!?

Maendeleo hayana vyama!
Zile kura million 6 zilikuwa za wapiga kura
 
6 M = anti-CCM = bado zipo = CCM tujipange = tukimrudisha jiwe tumekwisha!
 
Back
Top Bottom