Mchungaji kkkt iringa afungwa kwa kubaka! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchungaji kkkt iringa afungwa kwa kubaka!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BONGOLALA, Jun 7, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mchungaji wa kkkt dayosisi ya iringa amehukumiwa kwenda jela baada ya kumbaka mwanafunzi wake wa miaka 14.Hao ndiyo wanaosimama madhabauni kutuonya tuache kufanya maovu huku wao ndiyo vinara!source nipashe
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,397
  Likes Received: 22,275
  Trophy Points: 280
  jamani, katoto ka miaka 14 kana raha gani kwa libaba kama hili litumishi la kanisa?
   
 3. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2011
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Mkuu hajafungwa kwa kubaka hebu fuatilia vizuri chanzo chako cha habari. NA adhabuya Kubaka ni zaidi yakifungo cha miaka 6. yeye amefungwa kwa kudai rudhwa ya ngono. Lingekuwa ni kosa la kubaka Takukukru wasingehusika.
   
 4. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Nimeona TBC, Mchungaji alikuwa kaishachukuwa kabisa chumba cha kulala akujua kama kawekewa mtego,Mchungani alivyokuwa mshenzi alimpa vidoge vya tumbo ameze kabisa ili asipate mimba
   
 5. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  nimeona kwenye news jana jioni,imeniuma sana lakini naona kama miaka 5 ni mingi sana kwa sababu huyo mtoto labda anaendelea kutumiwa na wanaume wengine,,dunia ndio ilivyo
   
 6. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,129
  Likes Received: 6,617
  Trophy Points: 280
  Kwa heshima na taadhima kubwa, nawaomba wale wanaoshughulikia haki za watoto, wamfungulie huyo mchungaji kesi ya ubakaji, na kesi iendelee wakati anatumikia hiyo ya rushwa. Mama Ananilea Nkya na wengine wengi ambao majina yao sijayajua vizuri, nawaomba nawaomba :whistle:wapendwa, kikombe hiki kisimpite huyo mtumishi wa bwana.
   
 7. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #7
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Dini hazina maana siku hizi...
  kila mmoja na Mungu wake
   
 8. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Alishindwa kumuomba hata mjane mpaka aende kwa mtoto dogo?
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,771
  Trophy Points: 280
  wacha mjane
  zile za afrikasana/las vegas loh pasto we@@
   
 10. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Si kweli kwamba eti kila mmoja na Mungu wake, rekebisha usemi wako! Either wewe ni wa Mungu au wewe ni wa Shetani, period! Dhambi zilianza tangu Adamu na Hawa na zitaendelea! Hiyo haimaanishi kwamba dini hazina maana! Isingekuwa dini wewe usingemtuhumu Mchungaji kujihusisha na zinaa!
   
 11. m

  mdhama Member

  #11
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  mmmm! alama za nyakati!
   
 12. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Mungu yupi? ikiwa hao tunaowaona kuwa wawakilishi na watumishi wa Mungu wako hivyo, ni Mungu yupi huyo? KKKT jimbo la Iringa linalalamikiwa sana enternally kwa tabia hii. Ikiwa hata bishop wao - Mchungaji wa wachungaji naye analalamikiwa kuwa na tabia hiyo unategemea nini?

  Dini hazijawahi kuwa na maana yo yote kwani ni vikundi vya kibinadamu, chenye maana mbele za Mungu ni maisha ya utakatifu/utaua basi... tunabakwa na kulawitiwa kwa sababu hatumjui Mungu na nini anataka tufanye na tuishi kwa namna gani. Badala ya kumtegemea yeye tunawategemea wanadamu-viongozi wa dini? ni viongozi wachache sana wa dini duniani kwa sasa wasio na skendo.
   
 13. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #13
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hata sirekebishi usemi wangu kabisaa
  uko sahihi kabisa
  .. kwanza kabisa hakuna mtu alie kuwa wa shetani
  kila mtu ni wa Mungu ila vitendo tuvitendavyo mara nyingi
  ni vya kishetani.. Shetani hajamuumba mtu yeyote kwa hiyo sisi si mali yake..

  na kubaliana nawe Dhambi zilikuwepo tangu enzi za ma babu na zitakuwepo
  mpaka kieleweke ( mwisho wa binadamu Kifo) nimesema Dini hazina maana
  maana dini nyingi siku hizi zimekaa kibiashara... wanajificha nyuma ya neno
  la Mungu kutengeneza fedha zao binafsi fedha zenyewe ( tax free)

  Kila mtu na Mungu wake nilikuwa na maanisha
  "Tumuabudu Mungu na si binadamu wenzetu"
  hopeful umenielewa..

  la mwisho naomba sana unisome vizuri hakuna sehemu
  hata moja niliyomtuhumu mchungaji .. rudi juu soma vizuri
  nimeandika sentensi mbili tu na sijamuhusishaa mchungaji mahali popote..

  asante na usiku mwema..
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hapo kuna mawili
  1. kama una belive tulitoka kwa Nyani ( science ) then utakuwa huamini kuna Mungu
  2. Kama unaamini uliumbwa na Mwenyeenzi Mungu ...

  Then napenda kukwambia hao wakilishi wa Mungu ni binadamu na wanamapungufu yao
  usiwaabudu wala kuwaiga wao Mwamini na Mshukuru alie kuumba....
  Ndie Mungu ninaye muuongelea
  ( hiyo ni kama una amini number 2.. )
  asante..
   
 15. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #15
  Jul 4, 2013
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,451
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  Na leo mwingine wa Mbeya.
   
 16. masanzu

  masanzu JF-Expert Member

  #16
  Jul 4, 2013
  Joined: May 6, 2013
  Messages: 513
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  kuku wa kienyeji unakula mpk mfupa
   
 17. MUSONI

  MUSONI JF-Expert Member

  #17
  Jul 4, 2013
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Jamani sio wa KKKT ni Assemblies of God tuwe waangalifu jamani na threads hapa ulingoni. ....ni jambo baya kweli na halikubaliki katika jamii.
  TUNALILAANI.
  SIO MCHUNGANJI WA KKKT.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...