Mchungaji: JK futa chaguzi zote ilizotawaliwa na rushwa

Hivi ukweli tuna Raisi asiekuwa na uwezo wa kukemea kwa AMRI. Yaani JK alishindwa kutoa maelekezo ya nini kifanyike juu ya hii rushwa wakati anasibitisa kabisa rushwa ipo na inakitesa chama? Kwanini asipeleke PCCB pale wiki moja tu inajulikana nani anaharibu chama. Kweli JK = Jangaa Kuu
 
Huyu mchungaji ana mtindio wa ubongo, au ndo wale waliobomolewa makanisa! Yanii ushauri huu unampa nani? JK huyu huyu ambaye tulidhani ni wa maana hata tukamuunga mkono 2005? Usipoteze muda!Nenda kachunge kondoo wako!
 
JK hana ubavu wa kufuta chaguzi hizo kwani hata yeye urais ameupata kwa njia zinazofanana na hizo.:majani7:
 
huyu rais toz kweli ni dhaifu jamani duuu,adi inabore,alafu unakuta mtu msomi na akili zake timamu unakuta ana wapenda penda ccm,wakati bosi wao ana lalamika je wanaomfuata chini yake wafanye nini,ccm uozo tusitegemee mabadiliko kupitia hichi chama wameoza wote na hao uvccm wameoza,kulikomboa taifa dawa kubadili cha tawala full stop.

mambo vipi?
 
Huyu Mchungaji atakuwa ametoka KUZIMU/AHERA leo.

Kumwambia JK afute chaguzi za CCM zilizogubikwa na rushwa na sawa
na kumwambia JK TO SHOOT ON HIS OWN FOOT! can't see that happening.

The only practical solution to go away with corruption ni sisi WATANZANIA
kuifuta CCM katika medani za SIASA through a barrot box. Sio JK kuifuta rushwa
ndani ya CCM because bila RUSHWA CCM IS DEAD. Get real Mchungaji.
 
Back
Top Bottom