LAPTOP2016
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 728
- 2,140
Nilichojifunza kutoka kwa Bushite, ni mtu mwenye nia na jambo ila ni mtu ajiyejua namna bora ya kukamilisha nia yake. Ajitahidi sasa kujifunza namna bora ya kukamilisha nia. Hata vita alizokua anazianzisha kila mtu alikua anaziunga mkono lakini naamna alivyokua anazitekeleza ndo hakuna mtu anayemuunga mkono.