Mchungaji Gwajima adai analipwa dola 1000 kwa saa akitoa lecture Japan

Naomba baba askofu aachane na shuhuda za misukule, sio mafundisho ya Mwalimu wetu Yesu Kristo kuna watu wanamdanganya kwani hao vijana wanafahamika hapo feri hawajawahi kupotea. Wanaongopa. Mama Rwakatare naye ameachana na mafundisho hayo baada ya kuambiwa ukweli.
Kwani G' ni mchungaji au Askofu? Nielewavyo mimi hivi ni vyeo tofauti hebu weka sawa. Kwa maisha anayoishi Gwajima sishangai hata akisema analipwa zaidi ya hizo tumpongeze tu kwa nafasi yake, tumuache na madhambi yake maana atoae hukumu ni Mungu pekee
 
Mchungaji gwajima adai analipwa dola 1000 kwa saa kila akitoa lecture Japan.ili aweze kununua helicopter inabidi afanye masaa mangapi?je lecture hiyo anaifanya university gani?na kwa nini hayupo ktk list ya maprofessor walipwao pesa nyingi duniani.?
We kinakuwasha nini??haya na wewe tuambie unalipwa au unaingiza sh.ngapi kwa SAA????tuliza kipele wewe usikute hata baiskeli hauna!sa unakuja kuuliza huku si ungetafuta majibu huko huko ulikozitoa hizo habari! Na lecture uliambiwa ni lazima university pekeake???zero brain kabisa.
 
Back
Top Bottom