Mchungaji Erasto: Washirikina na majambazi hawana nafasi katika bunge la 2020, aenda mikoani kwa maombi maalumu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
34,225
2,000
Mchungaji Erasto wiki ijayo ataanza ziara ya mikoani lengo likiwa kukemea makafara ya uchaguzi katika kipindi hiki tunapoelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na ule mkuu hapo 2020.

Mchungaji Erasto atatembelea mikoa mbali mbali ikiwemo Tanga, Iringa, Mbeya, Kilimanjaro, Njombe, Mwanza, Simiyu na Songwe.

Mchungaji anasema 2020 hatutaki kusikia habari za mabundi bungeni hivyo hali hiyo ni lazima ikemewe mapema ili washirikina na wachawi wasipate mpenyo kwenye chaguzi zijazo.

Ijumaa njema
Maendeleo hayana vyama!
 

Tukundane

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
10,735
2,000
Uchaguzi unapokaribia wachumia tumbo nao hawakosekani,wachawi wapo siku zote kwa nini hakumuomba Mungu awaondoe ?mpaka amesubiri uchaguzi umekaribia ndio anajifanya kawaona wachawi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom