Mchungaji Erasto: Siasa za maigizo ndio zimezalisha akina Hamza, vyama vya siasa vimejaa "Waigizaji" na siyo Wanasiasa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
47,783
2,000
Mchungaji Erasto anasema vyama vya siasa vyote vimejikita katika maigizo badala ya kusimamia uhalisia na matokeo yake ndio wanapatikana makada na makamanda wenye viashiria vya ugaidi.

Mchungaji anasema kwa mfano Hamza kwa jinsi tunavyoelezewa tabia zake na watu wake wa karibu na ukifuatilia ripoti ya uchunguzi ya polisi utabaidi kuwa vyama vya siasa ndio maficho ya Watenda uovu waliovaa mavazi ya kondoo.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
 
Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
1,450
2,000
Viongozi wa vyama vya upinzani Tanzania ni wa hovyo sana. Wamekaa kimasilahi masilahi na wako tayar kufanya lolote hata kushirikiana na adui, ilimradi huyo wanaeshirikiana nae awe na chochote cha kuwapa ili wajaze matumbo yao na familia zao. Inasikitisha kuona Tanzania ndio nchi pekee yenye wapinzani wanaopigania matumbo yao, na nyadhifa zao ndani ya vyama vyao. Ukiangalia hata body language zao kupitia picha hapo chini utagundua kuwa wenzetu kama Malawi au Zambia walikuwa na viongozi wa upinzani makini, wenye elimu, wenye maono, wenye maadili, wastarabu na wapigania kweli demokrasia. Huku viongozi wa upinzani Tanzania wakionekana kuendesha siasa zao kwa kupayuka payuka, kutumia uongo mwingi kulaghai wafuasi wao nk.

images (35).jpeg

images (34).jpeg

images (32).jpeg

images (31).jpeg

download (1).jpeg

images (30).jpeg

images (29).jpeg

images (28).jpeg
 
superwarkills

Member
Aug 18, 2014
47
95
Viongozi wa vyama vya upinzani Tanzania ni wa hovyo sana. Wamekaa kimasilahi masilahi na wako tayar kufanya lolote hata kushirikiana na adui, ilimradi huyo wanaeshirikiana nae awe na chochote cha kuwapa ili wajaze matumbo yao na familia zao. Inasikitisha kuona Tanzania ndio nchi pekee yenye wapinzani wanaopigania matumbo yao, na nyadhifa zao ndani ya vyama vyao.
Wanachofanya na kilichoandikwa kwenye Ilani zao tofauti..
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
47,783
2,000
Viongozi wa vyama vya upinzani Tanzania ni wa hovyo sana. Wamekaa kimasilahi masilahi na wako tayar kufanya lolote hata kushirikiana na adui, ilimradi huyo wanaeshirikiana nae awe na chochote cha kuwapa ili wajaze matumbo yao na familia zao. Inasikitisha kuona Tanzania ndio nchi pekee yenye wapinzani wanaopigania matumbo yao, na nyadhifa zao ndani ya vyama vyao.
Wanasiasa wote wanapigania matumbo yao na ya watoto wao.
 
Francis fares Maro

JF-Expert Member
Jun 20, 2021
978
1,000
Viongozi wa vyama vya upinzani Tanzania ni wa hovyo sana. Wamekaa kimasilahi masilahi na wako tayar kufanya lolote hata kushirikiana na adui, ilimradi huyo wanaeshirikiana nae awe na chochote cha kuwapa ili wajaze matumbo yao na familia zao. Inasikitisha kuona Tanzania ndio nchi pekee yenye wapinzani wanaopigania matumbo yao, na nyadhifa zao ndani ya vyama vyao.
Kabla hujaandika kuhusu hawa viongozi wa upinzani nakukumbusha!!!..Katika case zote za uhujumu uchumi na za kigaidi watu wengi ni wa CCM ni Kwa mara ya kwanza tumemsikia Mbowe!!..Nikufurahishe zaidi hakuna muhalifu atakaeweza kukaa kwenye Upinzani kwasababu hatakuwa na Kinga!!..Majangili,wasafirishaji madawa ya kulevya wote ni CCM hata huyu Hamza ni CCM!!!..
 
Hamatan

JF-Expert Member
Nov 10, 2020
2,262
2,000
Viongozi wa vyama vya upinzani Tanzania ni wa hovyo sana. Wamekaa kimasilahi masilahi na wako tayar kufanya lolote hata kushirikiana na adui, ilimradi huyo wanaeshirikiana nae awe na chochote cha kuwapa ili wajaze matumbo yao na familia zao. Inasikitisha kuona Tanzania ndio nchi pekee yenye wapinzani wanaopigania matumbo yao, na nyadhifa zao ndani ya vyama vyao. Ukiangalia hata body language zao kupitia picha hapo chini utagundua kuwa wenzetu kama Malawi au Zambia walikuwa na viongozi wa upinzani makini, wenye elimu, wenye maono, wenye maadili, wastarabu na wapigania kweli demokrasia. Huku viongozi wa upinzani Tanzania wakionekana kuendesha siasa zao kwa kupayuka payuka, kutumia uongo mwingi kulaghai

View attachment 1924175

View attachment 1924176

View attachment 1924177

View attachment 1924178

View attachment 1924179

View attachment 1924180

View attachment 1924181

View attachment 1924182
Yawezekana umeondoka Milembe hospital kabla ya kuruhusiwa na daktari. JF ni kwaajili ya watu wenye akili timamu. Pole sana. Huelewi hata mada inasema nini!
 
Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
1,450
2,000
Kabla hujaandika kuhusu hawa viongozi wa upinzani nakukumbusha!!!..Katika case zote za uhujumu uchumi na za kigaidi watu wengi ni wa CCM ni Kwa mara ya kwanza tumemsikia Mbowe!!..Nikufurahishe zaidi hakuna muhalifu atakaeweza kukaa kwenye Upinzani kwasababu hatakuwa na Kinga!!..Majangili,wasafirishaji madawa ya kulevya wote ni CCM hata huyu Hamza ni CCM!!!..
Bila shaka umekariri kama vile ulivyokaririshwa kuhusu Lowasa mwaka 2008 hadi 2015. Ukitaka kujua kama wauza madawa wapo upinzani, au wanaungwa mkono na wapinzani ebu rudisha kumbu kumbu zako nyuma kwa yale yaliomtokea Makonda wakati anapambana na wauza madawa. Ni kama vile alikuwa ametupa jiwe eneo lililokaa wapinzani, maana walimshambulia kwa kila aina ya silaha ya mdomo kisa tu aligusa masilahi yao. Ujangili pia wapinzani walitumia majina ya watu maarufu kusambaza uongo kuhusu majangili. Lakini kilichomtokea mch Msigwa hadi kupelekea kuomba msamaha kumefanya watu wajifunze kitu kupitia kauli za wapinzani zilizojaa uongo na unafiki wa hali ya juu. Kumbuka wapinzan wa Tanzania wanafanya siasa zao kwa njia za kilaghai laghai na kukimbizana na matukio ili kuwapata wajinga wajinga (japo sina uhakika kama na ww ni miongoni mwao)

images (26).jpeg
 
Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
1,450
2,000
Yawezekana umeondoka Milembe hospital kabla ya kuruhusiwa na daktari. JF ni kwaajili ya watu wenye akili timamu. Pole sana. Huelewi hata mada inasema nini!
Sawa mama watoto naona umerukia hoja yang mfano wa mtu anaeruka baada ya kushikwa makalio na shemeji yake.
 
avogadro

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
4,678
2,000
Alikuwa chipukizi Hadi mauti yanamkuta ni Greenguard
Acha mawazo finyu tumia akili kidogo, huyu jamaa alikuwa amejifunika tuu huko a luna watu waliokuwa nyuma yake na yote aliyokuwa anawazuga watu kuwa anafanya mambo mema ilikuwa ni mbinu ya kufanya jamii isishukie nyama zake. Ukitaka kujua hata vichaa wa mjini wana ndugu subiri siku ya kifo chake ndio utawaona. Na kwa hamza watu waliokuwa nyuma yake walijidhihirisha siku ya nazishi yake, na tena watu ambao wamejipachika kwenye vyama vya upinzani wakizuga ni wanasiasa kumbe wana malengo yao mabaya. Fuatilia kwa makini yule kiongozi wa dini aliyekuwa anatoa matamshi na dua za ajabu kwenye kameni na msafafara wa lisu na aliyekuwa ansongea kama mwakilishi wa familia ya huyo gaidi ni mtu mmojo ndipo utajua nchi imefika wapi
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
55,266
2,000
Viongozi wa vyama vya upinzani Tanzania ni wa hovyo sana. Wamekaa kimasilahi masilahi na wako tayar kufanya lolote hata kushirikiana na adui, ilimradi huyo wanaeshirikiana nae awe na chochote cha kuwapa ili wajaze matumbo yao na familia zao. Inasikitisha kuona Tanzania ndio nchi pekee yenye wapinzani wanaopigania matumbo yao, na nyadhifa zao ndani ya vyama vyao. Ukiangalia hata body language zao kupitia picha hapo chini utagundua kuwa wenzetu kama Malawi au Zambia walikuwa na viongozi wa upinzani makini, wenye elimu, wenye maono, wenye maadili, wastarabu na wapigania kweli demokrasia. Huku viongozi wa upinzani Tanzania wakionekana kuendesha siasa zao kwa kupayuka payuka, kutumia uongo mwingi kulaghai wafuasi wao nk.

View attachment 1924175

View attachment 1924176

View attachment 1924177

View attachment 1924178

View attachment 1924179

View attachment 1924180

View attachment 1924181

View attachment 1924182
RIP kada wa CCM Hayati Alhaji Hamza.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom