Mchungaji Erasto: Nape na January wanapaswa kumtanguliza Mungu mbele waongeapo, wasisukumwe na siasa pekee

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
34,346
2,000
Mchungaji Erasto amewaasa watoto wa viongozi wa CCM Nape na January kumtanguliza Mungu mbele kila wanapotaka kuongea na umma.

Mchungaji anasema, kwa mfano kusema kwamba wao ndio waliasisi kauli mbiu ya Hapa Kazi Tu ni uwongo wa mchana kwani lilikuwepo daladala la Mwenge - Posta kuanzia mwaka 2010 lenye chata ya Hapa Kazi Tu.

Lakini Mungu ni mwema wenyewe wamekiri kuwa slogan yao ilikuwa Hapa NI Kazi Tu lakini walipomuonyesha Diamond akawafumbua macho na kuwaambia huko mjini yaani Posta huwa wanasema Hapa Kazi Tu amesisitiza mchungaji.

Mchungaji Erasto anasema uzuri wa vijana hawa wote wawili ni kwamba wanaujua utamu wa Injili ya Yesu hivyo amewashauri waifuate.

Maendeleo hayana vyama!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom