johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 54,743
- 2,000
Mchungaji Erasto anasema chama kinachoweza kuieleza ukweli CCM kwa sasa ni Chadema pekee hivyo ni vema chama tawala kikaacha kuwatenga na badala yake kiwasogeze karibu ili kujiimarisha zaidi kimaono na kiubunifu.
Erasto anasema Chongollo anazunguka nchi nzima kuongea na wanaccm lakini alipaswa kuongea na wananchi wote ili kuongeza idadi ya wanachama.
Hata Yesu huwatafuta wale waliopotea siyo wale ambao tayari wako kwake kwani wenye afya hawahitaji daktari bali walio wagonjwa, amemalizia mchungaji Erasto.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!