Mchungaji Erasto: Mikutano ya Chongollo " Hainogi" kama Chadema hawafanyi mikutano, tunataka Majibizano ya Hoja siyo One Way Traffic

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
54,791
2,000
Mchungaji Erasto anasema chama kinachoweza kuieleza ukweli CCM kwa sasa ni Chadema pekee hivyo ni vema chama tawala kikaacha kuwatenga na badala yake kiwasogeze karibu ili kujiimarisha zaidi kimaono na kiubunifu.

Erasto anasema Chongollo anazunguka nchi nzima kuongea na wanaccm lakini alipaswa kuongea na wananchi wote ili kuongeza idadi ya wanachama.

Hata Yesu huwatafuta wale waliopotea siyo wale ambao tayari wako kwake kwani wenye afya hawahitaji daktari bali walio wagonjwa, amemalizia mchungaji Erasto.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
 
Kinuju

JF-Expert Member
Mar 20, 2021
2,291
2,000
Chadema ni wapumbavu sana hawatakiwi kuruhusiwa kueneza upumbavu wao wa tutashitakiwa MIGA.
 
Hamatan

JF-Expert Member
Nov 10, 2020
3,092
2,000
Chadema ni wapumbavu sana hawatakiwi kuruhusiwa kueneza upumbavu wao wa tutashitakiwa MIGA.
Kasome report ya TWAWEZA:

"CCM inapendwa na kuungwa mkono zaidi na wajinga"

"CHADEMA inaunfwa mkono zaidi na watu wenye Elimu na vijana"

Hata kwa michango tu za hapa JF, unaona wazi kabisa kuwa wanaoitetea CCM ni watu wajinga, watu wenye elimu ndogo, uelewa duni na wasioweza kujenga hoja.
 
kelao

JF-Expert Member
Sep 24, 2012
8,051

ukweli mchungu
 
Pep

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
2,314
2,000
Kasome report ya TWAWEZA:

"CCM inapendwa na kuungwa mkono zaidi na wajinga"

"CHADEMA inaunfwa mkono zaidi na watu wenye Elimu na vijana"

Hata kwa michango tu za hapa JF, unaona wazi kabisa kuwa wanaoitetea CCM ni watu wajinga, watu wenye elimu ndogo, uelewa duni na wasioweza kujenga hoja.
Aisee 😂😂
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom