Mchungaji Erasto: Komredi Polepole katika shule yake ya Uongozi atufundishe mbinu za kurubuni Wapinzani!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
47,749
2,000
Mchungaji Erasto amempongeza komredi Polepole kwa darasa lake la Uongozi bora analolitoa kila wiki.

Mchungaji amemtaka Polepole kufundisha somo la namna bora ya kuwarubuni Wabunge wa chama kingine ili waingie kwenye chama chako bila ya kuwapa vyeo.

Pili, Polepole atutajie nchi ambazo haziongozwi na vikundi vya watu wachache hapa duniani, anasema mchungaji.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
15,086

Hivi mtu kama Polepole anamfundisha nani uongozi bora ?!. Huyu aliekuwa na madaraka hayo akabaki kutambia ma V8 za chama !!.

Tatizo watu wengi hujuta baada ya kunyang'anywa madaraka . Tuliwashuhudia kina Nyerere. Lowassa. Sumaye nk wakidai katiba ni mbovu baada ya kutoka madarakani . So hata Polepole anapitia humo humo.
 
Binadamu husahau haraka sana!
 
Fumadilu Kalimanzila

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
826
1,000
Mchungaji Erasto amempongeza komredi Polepole kwa darasa lake la Uongozi bora analolitoa kila wiki.

Mchungaji amemtaka Polepole kufundisha somo la namna bora ya kuwarubuni Wabunge wa chama kingine ili waingie kwenye chama chako bila ya kuwapa vyeo.

Pili, Polepole atutajie nchi ambazo haziongozwi na vikundi vya watu wachache hapa duniani, anasema mchungaji.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Polepole ni mnafiki na mpuuzi fulani hivi ambaye wapuuzi kama yeye ndo wanampa attention!

Huyu mpuuzi Polepole pamoja na Bashiru (wana CCM uchwara)ndio walimrubuni Magufuli na mikakati ya kij,inga ya kuwarubuni Wapinzani kuacha Ubunge na kuunga mkono juhudi za Magufuli (Siyo CCM) eti ndiyo kuuimarisha CCM (ilikuwa ni kumuimarisha Magufuli kama mtawala wa Kiimla/Dictator)!

Eti leo baada ya Mama Samia kumpiga chini ndo anakuja na maujinga yake eti anafundisha uongozi! Huyu Polepole amshukuru sana Magufuli kwani kabla ya hapo hata sura yake tu ilikuwa huwezi kujua kama ni kijana au mzee! Kwa taarifa yake WanaCCM makini wanajua mauchafu yake yote walivyopiga pesa nyingi kwenye kupitisha majina ya wagombea Ubunge 2020.

Magufuli mwenyewe amekufa huku akishangazwa kwamba Polepole naye ni "mpigaji" kama wengine tu na ndo maana alim- demote kwa kumteua kuwa "Mbunge wa Viti maalum"! Yalikuwa ni maandalizi ya kumtoa kwenye UKATIBU WA SIASA NA UENEZI TAIFA, Mama Samia alimazia tu kazi aliyoianza Magufuli dhidi ya Polepole . Polepole ni mnafiki, ndumilakuwila na "mpigaji" wa kutupwa!

Aache nongwa kwa Mama Samia,na ajue zama zake zimekwisha na Magufuli na ajifunze kwa "Wapigaji" wenzake akina Paulo Makonda,Bashiru, Mnyeti n.k.

Polepole tambua kuwa SAMAKI APANUAYE MDOMO NDO HUNASWA NA NDOANO!
WanaCCM makini wanaokijua Chama wametulia kwani wanajua huu si muda wa kutengeneza maadui kwani mwakani kuna uchaguzi muhimu ndani ya CCM ambao ndo msingi kuelekea 2025 ! Sasa subiri baada ya Uchaguzi ndani ya Chama utaona kama utanyamaziwa kwa upuuzi wako huo wa kuleta majungu dhidi ya Mama Samia.
 
Vessel

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
5,579

Isisahaulike kutoa jedwali la package inayotoa mvuto huo kwa walengwa.
 
goodlif1600

JF-Expert Member
Jun 1, 2016
493
500

Utakua mnufaika wewe maana una hasira Sana na polepole.
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
18,469
2,000
Mchungaji Erasto amempongeza komredi Polepole kwa darasa lake la Uongozi bora analolitoa kila wiki.

Mchungaji amemtaka Polepole kufundisha somo la namna bora ya kuwarubuni Wabunge wa chama kingine ili waingie kwenye chama chako bila ya kuwapa vyeo.

Pili, Polepole atutajie nchi ambazo haziongozwi na vikundi vya watu wachache hapa duniani, anasema mchungaji.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
😅😅😅polepole fala tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom