Mchungaji Erasto: Kama Kikwete na Lowassa waliachana njia panda itakuwa Mbowe na Halima? Siasa haina urafiki ni Unafiki mtupu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
38,645
2,000
Mchungaji Erasto anasema hakunaga urafiki wa kweli kwenye siasa bali ni full unafiki hivyo Freeman Mbowe na Halima Mdee kuachana njia panda ni jambo la kawaida sana siasani.

Mifano ni mingi tangia enzi za Nyerere na Kambona, Samuel Doo na rafikiye, Jakaya Kikwete na Lowassa, Uhuru na Ruto n.k.

CHADEMA wanaweza kuwa imara zaidi kama wataigeuza hii changamoto wanayopitia kuwa fursa ya kujijenga upya baada ya Mdee na wenzake kuwekwa pembeni, amemalizia Mchungaji Erasto Kavishe.

Nawatakia Dominica yenye baraka

Maendeleo hayana vyama
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom