Mchungaji Erasto: CHADEMA inaendeshwa kwa misaada 100% kwahiyo ni lazima wautetee ule upande mwingine

mbenge

JF-Expert Member
May 15, 2019
1,777
2,000
Mchungaji Erasto amesema tofauti na CCM, vyama vya upinzani kikiwemo chama kikuu Chadema vinaendeshwa kwa misaada kwa 100% ikiwemo ruzuku ya serikali na msaada wa michango kutoka kwa wanachama na wafanyabiashara...
Hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kusema kuwa kuna vita vya kiuchumi vinaendelea hapa nchini!? Watawala wameshindwa kabisa kuiendeleza ama kuhamasisha sekta binafsi, hawana sera wala maono juu yake.

Kinachofanyika ni kama kufanya bahati nasibu juu ya mikakati na mipango ya kuwa na sera nzuri za "macro & micro economics" hapa nchini, kwa kuwa hakuna uwiano wowote ule wenye kushawishi hoja hii miongoni mwao. Hii ndiyo maana serikali kwa upande mmoja inajisifu kuhusu uchumi kukua, huku kwa upande mwingine hali halisi ya wananchi ikiwa ni kinyume chake kabisa.

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Jan 16, 2020
1,536
2,000
Mchungaji Erasto amesema tofauti na CCM, vyama vya upinzani kikiwemo chama kikuu Chadema vinaendeshwa kwa misaada kwa 100% ikiwemo ruzuku ya serikali na msaada wa michango kutoka kwa wanachama na wafanyabiashara...
Humu lazima tuelezane ukweli,Roman cathoric ni kanisa liliomwasi Mungu toka enzi na enzi
Shetani alijipenyeza kwa njia ya kiungu,kwakuwa hawakuwa na Mungu wala Roho mtakatifu wa kuwaongoza kumjua shetani kama ilivyokuwa kwa Yesu wakati akijalibiwa alivyomgundua

Wakaingia mkenge,wakaanza kutunga masala mengiii

Mfano,

Yesu anasema mkimwomba baba kwa jina langu atawapa na mkiniomba mimi kwa jina langu nitafanya.

Hakusema waombeni watakati wawaombee

Wala hakusema tumwombe bikra maria atuombee
HUU NI UKENGEUFU
Mpaka biblia inatolewa isomwe kila kitu kilikamilika mpaka hukumu ya Dunia hii
Sasa kusema eti watoto wa fatma walitokewa na bikra maria na kusema tusali rozali, ni ukengeufu uleule.

Jina la yesu ni sawa na muhuri ya barua ili ithibitike kuwa imetoka ogisi fulani lazima muhuri itiwe, na mkrito ambapo ni sawa na barua lazima asema naomba haya kwa jina la Yesu.

Mitume walimwomba Yesu awafundishe kuomba.
Aliwafundisha sala ya baba yetu uliye mbinguni na siyo saalam Maria.

Hivyo basi mapadri maaskofu wa kiroma hawapo kwaajili ya kutetea haki kama wapo ni wachache sana kama vile bangonza.
Hawapo tayari kupata mateso kutoka kwa watawala kwaajili ya kusimamia ukweli.
Kama wana ukweli basi kwakutumia utashi na akili za kinaadam lakini siyo kutoka ktk imani yenye nguvu za Mungu inayohimili mateso na vitisho vya watawala.
Kama ana maana ya vitega uchumi ilivyonavyo ccm,ni kodi zetu wakati wa chama kimoja,waliopoona mfumo wa vyama vingi umeingia wakahalalisha kuwa ni mali ya chama.

Kama haitoshi,mbona wanauza kadi?
Michango ya nafuriko iko wapi sambamba na ya tetemeko bukoba?
Pesa za covid zimetumika kwenye kadhia gani wakati covid haikuwepo?
1.5trn ipo wapi?
Mleta mada mwambie huyo padri wako aache ushamba.
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
38,506
2,000
Humu lazima tuelezane ukweli,Roman cathoric ni kanisa liliomwasi Mungu toka enzi na enzi
Shetani alijipenyeza kwa njia ya kiungu,kwakuwa hawakuwa na Mungu wala Roho mtakatifu wa kuwaongoza kumjua shetani kama ilivyokuwa kwa Yesu wakati akijalibiwa alivyomgundua...
Umechanganya madesa mchungaji Erasto siyo padri!
 
Ghiti Milimo

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
2,502
2,000
Huyo mchungaji ni msengerema
Mchungaji gani mkuuu!? Huyu jamaa, kila kukicha anakuja na lake, akijificha nyuma ya majina ya mara MZEE MGAYA, mara leo kaja na Mchungaji.

Cha kushangaza, kwani yeye ndiye amekuwa spika ya Watanzania, kiasi kwamba hao watu anaojidai anawaheshimu sana, mpaka wamletee yeye hizo jumbe/nasaha/maono kila siku? Kwa nini iwe yeye tu kutuletea hizo hadithi za Mzee Mgaya kasema, mara mchungaji kasema!?

Hata akisema ni yeye ndiye anasema hivyo, wapo wataomsikiliza tu! Asiwe anajificha kwa majina ya watu wengine. Ana shaka gani, mbona hapa wengi tunatumia ID bandia! Awe anakuja na ID ya MZEE MGAYA NK.
 
Hahahaaaa....... Mjumbe hauwawi!
 
leonaldo

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
1,982
2,000
Mchungaji Erasto amesema tofauti na CCM, vyama vya upinzani kikiwemo chama kikuu Chadema vinaendeshwa kwa misaada kwa 100% ikiwemo ruzuku ya serikali na msaada wa michango kutoka kwa wanachama na wafanyabiashara.

Katika muktadha huo usitegemee Chadema kuwa upande wa serikali katika vita vya uchumi ni lazima watetee ule upande mwingine walikoelekeza mirija yao, amesisitiza mchungaji.

Mchungaji amemalizia nasaha zake kwa kusema kuwa hii vita ya uchumi ni nyepesi sana kama watanzania tutakuwa kitu kimoja badala ya wengine kutumika kama vibaraka.

Nawatakia Dominica yenye baraka

Maendeleo hayana vyama!
MCHUNGAJI, alietokosa mwanakondoo wa sadaka!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom