Uchaguzi 2020 Mchungaji Erasto: Askofu Mwamakula na Shehe Ponda wanavuka mipaka ya demokrasia!

yomboo

JF-Expert Member
May 9, 2015
6,235
2,000
Mchungaji Erasto amesema kitendo cha Askofu Mwamakula na Shehe Ponda kumpigia kampeni Tundu Lissu ni kuvuka mipaka ya demokrasia tena ni kuchanganya dini na siasa.

Kwa sababu tunayo Kamati ya amani inayoongozwa na Alhad Salum na Mchungaji Fupe wa KKKT leo sitasema sana nasubiri kuona Kamati itafanya nini, amesisitiza Mchungaji Erasto.

Maendeleo hayana vyama!
Erasto ndio mavi ya wapi???
 
MtamaMchungu

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
5,551
2,000
MATAGA kila wakitegwa wanajaa.... ilianza na ACT kusema watamuunga mkono Lissu... wakapanic! Matamko mengi, wakaja kukumbushwa kuhusu TLP na UDP. Naona wako kimya sasa. Sheikh Ponda kapiga kampeni wameanza kupanic... tutawakumbusha tu kuhusu Sheikh wao wa mkoa Dar
 
Mnyanyembe wa Mboka

JF-Expert Member
Feb 10, 2017
1,677
2,000
Mchungaji Erasto amesema kitendo cha Askofu Mwamakula na Shehe Ponda kumpigia kampeni Tundu Lissu ni kuvuka mipaka ya demokrasia tena ni kuchanganya dini na siasa.

Kwa sababu tunayo Kamati ya amani inayoongozwa na Alhad Salum na Mchungaji Fupe wa KKKT leo sitasema sana nasubiri kuona Kamati itafanya nini, amesisitiza Mchungaji Erasto.

Maendeleo hayana vyama!
"... tunayo Kamati ya amani inayoongozwa na Alhad Salum na Mchungaji Fupe wa KKKT ...."

Samahani unamaanisha Al-Had huyu Sheikh Mnafiki Mkuu wa Mkoa wa Waislam wanafki wa DSM au???

Huyu ambae alimuombea Dua Magufuli kwa jina la Yesu na Mtume Muhammad ...

Huyu kiongozi wa kampeni za CCM kitengo cha BAKWATA

20201018_145233.jpg
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
6,564
2,000
Mchungaji Masanja Mkandamizaji yeye ameivunja kabisa hiyo mipaka,anavaa na skuna!
 
dolevaby

JF-Expert Member
Aug 25, 2013
11,547
2,000
Mchungaji Erasto amesema kitendo cha Askofu Mwamakula na Shehe Ponda kumpigia kampeni Tundu Lissu ni kuvuka mipaka ya demokrasia tena ni kuchanganya dini na siasa.

Kwa sababu tunayo Kamati ya amani inayoongozwa na Alhad Salum na Mchungaji Fupe wa KKKT leo sitasema sana nasubiri kuona Kamati itafanya nini, amesisitiza Mchungaji Erasto.

Maendeleo hayana vyama!
Ukizama kwenye maji hata ukiona Jani unaamini litakuvusha! sasa hivi mnatega masikio makanisani tu
 
chikambabatu

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
538
500
Mchungaji Erasto amesema kitendo cha Askofu Mwamakula na Shehe Ponda kumpigia kampeni Tundu Lissu ni kuvuka mipaka ya demokrasia tena ni kuchanganya dini na siasa.

Kwa sababu tunayo Kamati ya amani inayoongozwa na Alhad Salum na Mchungaji Fupe wa KKKT leo sitasema sana nasubiri kuona Kamati itafanya nini, amesisitiza Mchungaji Erasto.

Maendeleo hayana vyama!
Kamati ya amani bila haki haina maana na washiriki wake wote ni motoni tu, kwa kuwa wana uelewa, na ufahamu lakini wanajifanya hamnazo
 
Enlightening

Senior Member
Oct 14, 2020
170
250
Mchungaji Erasto amesema kitendo cha Askofu Mwamakula na Shehe Ponda kumpigia kampeni Tundu Lissu ni kuvuka mipaka ya demokrasia tena ni kuchanganya dini na siasa.

Kwa sababu tunayo Kamati ya amani inayoongozwa na Alhad Salum na Mchungaji Fupe wa KKKT leo sitasema sana nasubiri kuona Kamati itafanya nini, amesisitiza Mchungaji Erasto.

Maendeleo hayana vyama!
Mwambie atulize tako mbona wale wa sisiyemu hawa gusi shenzi zake kabisa huyo mlamba miguu ya mwanadamu na kumsahau Mungu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom