• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Mchungaji Erasto aombea uchaguzi na kutahadharisha kuwa kama shetani bado anaishi basi hata CHADEMA na vyama washirika havitakufa

J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
27,807
Points
2,000
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
27,807 2,000
Mchungaji Erasto anasema Shetani ndiye muasisi wa Kupinga (upinzani) dhidi ya habari njema ya Mungu kwa wanadamu.

Pamoja na bughuza zake zote bado shetani ameachwa aendelee kuishi na kupewa jukumu la kuwa "mjaribu" na ni jukumu la mwanadamu kuyashinda majaribu hayo amesisitiza mchungaji.

Mchungaji Erasto ameuombea uchaguzi uwe wa amani na ufanyike kuwa baraka kwa wstanzania, pia ameonya kuwa upinzani hauwezi kufa kwani ndio asili ya dunia na ndio sababu Wakristo na Waislamu Mungu wao ni mmoja na wana ujasiri wa kuishi pamoja japo wana tofauti ya namna " wanavyomwabudu" na kumtumikia Mungu.

Nawatakia Dominika yenye baraka

Maendeleo hayana vyama!
 
mlimilwa

mlimilwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
2,147
Points
2,000
mlimilwa

mlimilwa

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
2,147 2,000
Mmmh!!
Maneno mazito sana hayo.
Itabidi aitwe ili aangaliwe uraia wake huyu.
 
idawa

idawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Messages
23,168
Points
2,000
idawa

idawa

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2012
23,168 2,000
Badala ya kuiombea CCM iache kuipeleka nchi kubaya anaombea uchaguzi batili.!
 
MtamaMchungu

MtamaMchungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Messages
4,696
Points
2,000
MtamaMchungu

MtamaMchungu

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2011
4,696 2,000
Mmeachwa mpite bila kupingwa bado mnalia
 
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2009
Messages
21,821
Points
2,000
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2009
21,821 2,000
Huyo mchungaji wako anauza ngada.
 
M

mulaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Messages
2,802
Points
2,000
M

mulaga

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2019
2,802 2,000
Safari damu zetu hazitomwagwa tena na mashetani goli liko wazi yashindwe yenyewe
 
VAPS

VAPS

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Messages
3,541
Points
2,000
VAPS

VAPS

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2012
3,541 2,000
Hawa viongozi wetu wa dini wanafiki sana, juzi kiongozi Rais wa TEC, katumia vibaya fursa muhimu ya kusema ukweli kuliponya taifa,Maadhimisho SHY, .... eti anaunga juhudi na kuombea uchaguzi wa amani!?
 
Bams

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
7,767
Points
2,000
Bams

Bams

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
7,767 2,000
Huyo ni mchangaji au tapeli wa madhabahuni? Huyo watu wanamfahamu - siyo mchungaji bali ni miongoni mwa wale wasiojulikana waliopenyezwa makanisani. Na kwa sasa wapo kila mkoa. Wengi ni makanisa yanayojiita ya kiroho.
 
Bams

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
7,767
Points
2,000
Bams

Bams

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
7,767 2,000
Hawa viongozi wetu wa dini wanafiki sana, juzi kiongozi Rais wa TEC, katumia vibaya fursa muhimu ya kusema ukweli kuliponya taifa,Maadhimisho SHY, .... eti anaunga juhudi na kuombea uchaguzi wa amani!?
Unachotakiwa kujua ni kuwa baada ya waraka wa kwaresma, jamaa alikuwa na chuki kubwa na kanisa. Ili kurudisha uhusiano, maaskofu waliamua kumchagua askofu atakayekuwa Rais wa TEC ambaye ana uhusiano mzuri na JPM.

Chini ya uongozi wa Rais wa TEC wa sasa, kamwe hamtasikia kauli yoyote kutoka TEC dhidi ya mtawala. Mark my words. Hiyo ni kwa mujibu wa maelezo ya Askofu mmoja ambaye ana wadhifa muhimu ndani ya TEC.
 

Forum statistics

Threads 1,403,181
Members 531,106
Posts 34,416,510
Top