Mchungaji Daniel Mgogo usikengeuke , Jikite kwenye Mahubiri usikubali kutumiwa na CCM

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,548
217,814
Nimeanza kukuona sasa ukianza kutumika kusifu mtu ambaye anatimiza majukumu yake aliyoomba mwenyewe , huna haja ya kusifu mambo ambayo ni majukumu halali ya kiongozi , kila awamu barabara na madaraja vilijengwa na wala hatukuwahi kummilikisha jambo hilo kiongozi yeyote kwa sababu zozote zile , hayo ni majukumu ya kikatiba tu .

Umaarufu ulioupata unatokana na mahubiri yako yanayogusa waumini wako , wakati ule ulipokuwa wa kawaida hawakuwahi kukualika popote ili uwasifu , hii ni kwa vile hukuwa na ushawishi wowote ule , jiulize kwanini sasa ? kuwa makini sana usije ukatoka nje ya reli na kuingia kwenye ibada ya Shetani , Mungu amekuinua lakini shetani anakunyemelea , kuwa makini sana , ccm haijawahi kumuacha mtu salama , muangalie Malasusa kama mfano wa karibu , ameteketea kiimani kwa sababu ya ccm.

Nakutakia kazi njema ya kuchunga kondoo wa Mungu
 
Du. Askofu fulani na fulani kusifiwa tu Leoo mtu kapendezwa mnamletea uzi. Ila angesema kinyume mngesema ndo Mchungaji huyu. Are you that much desperate
 
Nimeanza kukuona sasa ukianza kutumika kusifu mtu ambaye anatimiza majukumu yake aliyoomba mwenyewe , huna haja ya kusifu mambo ambayo ni majukumu halali ya kiongozi , kila awamu barabara na madaraja vilijengwa na wala hatukuwahi kummilikisha jambo hilo kiongozi yeyote kwa sababu zozote zile , hayo ni majukumu ya kikatiba tu .
Umaarufu ulioupata unatokana na mahubiri yako yanayogusa waumini wako , wakati ule ulipokuwa wa kawaida hawakuwahi kukualika popote ili uwasifu , hii ni kwa vile hukuwa na ushawishi wowote ule , jiulize kwanini sasa ? kuwa makini sana usije ukatoka nje ya reli na kuingia kwenye ibada ya Shetani , Mungu amekuinua lakini shetani anakunyemelea , kuwa makini sana , ccm haijawahi kumuacha mtu salama , muangalie Malasusa kama mfano wa karibu , ameteketea kiimani kwa sababu ya ccm.
Nakutakia kazi njema ya kuchunga kondoo wa Mungu
kwani hata mchungaji mgogo moja ya majukum yake kama kiongozi ktk jamii (wa kiroho) si ni kupongeza pale mtu anafanya vizuri au kukosoa na kuonya anapoona pamefanyika kinyume,sasa wewe unataka atoe comments kwa mujibu wa mtazamo wako ndyo shida inapoanzia,basi tueleze pia kama zile nyaraka za maaskofu ni kutumiwa na wapinzani
 
Kukosoa wala kusifia hakujakatazwa , tatizo ni kutumikishwa na ccm kwa malengo maalum
 
Nimeanza kukuona sasa ukianza kutumika kusifu mtu ambaye anatimiza majukumu yake aliyoomba mwenyewe , huna haja ya kusifu mambo ambayo ni majukumu halali ya kiongozi , kila awamu barabara na madaraja vilijengwa na wala hatukuwahi kummilikisha jambo hilo kiongozi yeyote kwa sababu zozote zile , hayo ni majukumu ya kikatiba tu .

Umaarufu ulioupata unatokana na mahubiri yako yanayogusa waumini wako , wakati ule ulipokuwa wa kawaida hawakuwahi kukualika popote ili uwasifu , hii ni kwa vile hukuwa na ushawishi wowote ule , jiulize kwanini sasa ? kuwa makini sana usije ukatoka nje ya reli na kuingia kwenye ibada ya Shetani , Mungu amekuinua lakini shetani anakunyemelea , kuwa makini sana , ccm haijawahi kumuacha mtu salama , muangalie Malasusa kama mfano wa karibu , ameteketea kiimani kwa sababu ya ccm.

Nakutakia kazi njema ya kuchunga kondoo wa Mungu
...
...Salute MKUU
 
Ndugu mleta Mada, kwanza nikuunge mkono, kukemea Dini kuchanganywa na siasa. Mchanganyiko huo ndio baadae unaleta mtafarikano wa wauminina umwagaji damu wa kidini.

Sasa nyie ndugu zetu wa kikristo ambao inasemekana mna elimu kutushinda sisi wenzenu wa Imani ya Islam, iwapo mnaweza kuchanganywa hivyo na kila aina ya manabii, inashangaza sana na inasikitisha.

Huku sisi wala usiseme, hatutasahau Nyerere alivyo tufanya na serekali zote za ccm, kutuletea taasisi ya Bakwata, yenye njaa na mashehe wasiokuwa na weledi wa elimu Akhera na elimu ya duniani. Yaani ni mazezeta wa ajabu kabisa, na Mshehe wetu walibobea elimu ya kiislamu na wenye weledi, stara, wakweli na wasiifanya kazi ya mungu kwa maslahi, hawatakiwi na wengine kufunguliwa mashtaka ya uongo.

Yote hayo yanaotokea kwa sababu dini yetu haitegemei mzungu kututetea na viongozi wetu wa dini zingine wanaona kukandamizwa kwa mashehe wa kiislamu ni manufaa kwao.

Hawa mashehe wa bakwata wanadhalilishwa kwa kupewa vijisenti majukwani. Jee umeshaona kiongizi yoyote wa kidini wa kikristo akipewa pesa jukwani tena kwa kebehi.

Ni wakati muhimu viongozi wa kidini wakajikita kwenye kazi ya mungu na kuacha kula rushwa na kusifia ovyo. Kama wanasifia basi na kemee maovu ya viongozi wa kisiasa pia.
 
Kwa mara ya kwanza umeandika jambo linalofikirisha sana !
 
Back
Top Bottom