Shalom. Nina swali ndugu.....Mtumishi Christopher Mwakasege amepata uchungaji lini?Ukiwa kama mpakwa mafuta wa bwana
mch mwakasege atakuwa akihubiri neno la mungu
pale biafra dar es salaam,....tar 7 mapak 14 ,arch
ukiwa mwana wa mungu usiache kuomba mungu azidi kumtumia
mwakasege watu waweze kuokolewa kwa damu ya yesu
shalom
Amenshalom
jamani ni
mtumishi wa bwana/mpakwa mafuta
chris mwakasege
kwani we maana ya mchungaji unaielewaje?Shalom. Nina swali ndugu.....Mtumishi Christopher Mwakasege amepata uchungaji lini?