Mchungaji chris mwakasege ndani ya biafra;tar 07-14 march 2010

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,722
21,775
Ukiwa kama mpakwa mafuta wa bwana
mch mwakasege atakuwa akihubiri neno la mungu
pale biafra dar es salaam,....tar 7 mapak 14 ,arch
ukiwa mwana wa mungu usiache kuomba mungu azidi kumtumia
mwakasege watu waweze kuokolewa kwa damu ya yesu

shalom
 
Ahsante kwa kutukumbusha. Natarajia kuhudhuria kama nilivyofanya kwa mikutano mingi ya kwake siku za nyuma. Ujumbe anaotuletea kutoka kwa Mwenyezi MUNGU huwa ni muhimu sana na imenisaidia sana kiroho na kimwili. Ni vyema pia kwenda na sadaka nzuri ya kusaidia kugharamia mkutano huo pamoja na mingine ya siku za mbele. Natumaini atasikilizwa live kwenye redio (mara nyingi huwa ni Praise Power 99.2-kwa siku zote) na TV (mara nyingi ni Star TV- sio kwa siku zote).
 
Ukiwa kama mpakwa mafuta wa bwana
mch mwakasege atakuwa akihubiri neno la mungu
pale biafra dar es salaam,....tar 7 mapak 14 ,arch
ukiwa mwana wa mungu usiache kuomba mungu azidi kumtumia
mwakasege watu waweze kuokolewa kwa damu ya yesu

shalom
Shalom. Nina swali ndugu.....Mtumishi Christopher Mwakasege amepata uchungaji lini?
 
Mi sioni sababu ya kupindisha mfumo wa lugha kwa ajili tu tunadhani mtu fulani anastahili kuitwa kwa jina/ cheo fulani. Ndio yale yale ya ma- Clinical Officers na AMO kuitwa "doctor"

Ndio, Mwakasege ana kipaji na upako wa kufundisha neno la Mungu, lakini hilo halimfanyi yeye kuwa ni Mchungaji!! Hata yeye mwenyewe hapendi kuitwa hivyo!! Yeye ni Mwalimu wa neno la Mungu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom