Mchungaji Cherehani mweka hazina shupavu wa chadema dmv

Wachungaji na Mashekh nao ni watanzania. wanahaki ya kushiriki ktk siasa. Hizi propaganda za kuwa dini na siasa havichangamani vimepitwa na wakati.
 
Naona Chadema wana hazina kubwa ya Wachungaji...Mchungaji Cherehani, Mchungaji Peter Msingwa, Mchungaji Israel Natse.

Ritz wapo wachungaji wengi lakini sijui vipi wanashindwa kumfungisha ndoa Dr. Slaa; hivi alishaoa au bado anazini na mke wa mtu?
Chama
Gongo la Mboto DSM
 
CHADEMA na UKRISTO, UKRISTO na CHADEMA! Huwezi kutofautisha vitu hivi!

unataka kujua kwanini kwasababu wanachama wake ni wakrito, waislam,wapagani...hivyo unapoitaja chadema unagusa watu wenye imani tofauti...
 
makanisa yataibuka kila siku, lakini kanisa moja tu ndilo litakalosimama. Ni kanisa la KRISTO, alilolianzisha mwenyewe, akawafundisha mitume kulieneza lakini lilipofika rumi likachakachuliwa, wakaanzisha kanisa la irumi kwa kuchukua ya kristo machache na ya kirumi mengi. Tangu hapo kumekuwa na mwendelezo wa kufungua makanisa kila uchwao ambayo siyo ya kristo na wala hayamtangazi kristo katika roho na kweli, bali kristo ni njia ya kupitia kufanikisha malengo ya ofisi zao.

UNAYEJIITA MKRISTO, usikubali kuyumbishwa, fuatilia kanisa ulilomo liliibuka vipi, baada ya hapo soma 1kor 1:10 ff, utajifunza kuwa kristo ni mmoja na hivyo kanisa linatakiwa kuwa moja tu, yaani KANISA LA KRISTO.

This is Neo colonialism! Africa had her better religious norms which are far better than what we see today in churches and mosques. My stand is for Africans to remain Africans, otherwise, none of the followers of foreign religions is better than the other. We are all slaves. John? Andrew? Elizabeth? Mohamed? Why not Kashaija, Bundala, Mwakalinga, Kalimanzila, etc? Why?

Yet, this is not a right forum of introducing your religious affiliation or belief.
 
Hiyo mada mbona haina mashiko?.Huyu mtoa mada inabidi aende shule kwanza kwani ameshindwa kujua chadema inajumuhisha watu wote.Hatuwezi kuwaacha mashekh na wajungaji.Shetani ccm mara nyingi anaogopa viongozi wa Dini
 
attachment.php


Mchungaji Cherehani baada ya kuchaguliwa mweka hazina wa CHADEMA tawi la DMV (Washington D.C, ameonyesha ushupavu wa hali ya juu katika ukusanyaji wa mapato hapa DMV.

Mchungaji Cherehani ambaye hata kanisa lake linaitwa Kanisa la CHADEMA Washington D.C waumini wanadai kuwa amekuwa anahubiri siasa badala ya dini. Pesa zetu za kanisa zitasalimika? Je siasa na dini vitaenda pamoja?

SIJAKUELEWA , UNALAMIKIA pesa za kanisa au HUTAKI MCH CHEREHANI AFANYE SIASA ?
 
ni sula la kusoma biblia na kujifunza kwa bidii kuelewa nini mungu anataka ufanye na kwa wakati gani. Kuna maelekezo yalitolewa ukiendelea kuyatumia leo, siyo sahihi. Kwa hiyo unahitaji kujifunza kwa bidii mungu alisema hivi akilenga nini na kwa wakati gani basi, utakuwa umesimama.

Mkuu ni mungu ama Mungu ?
 
Naona Chadema wana hazina kubwa ya Wachungaji...Mchungaji Cherehani, Mchungaji Peter Msingwa, Mchungaji Israel Natse.
Machungaji Getrudi lwakatare , mchungaji Asumpter mshama, mchungaji Lakson Mwanjale , mchungaji Mery mwanjelwa, mchungaji ............sijui hawa unawaona ?
 
Machungaji Getrudi lwakatare , mchungaji Asumpter mshama, mchungaji Lakson Mwanjale , mchungaji Mery mwanjelwa, mchungaji ............sijui hawa unawaona ?
Ila hawa wachungaji wa CCM wote wana kashfa, Lwakatare kuiba umeme mpaka kutajwa Bungeni, kujenga eneo lisiloruhusiwa nk, mwanjelwa kuiba mataulo , herein etc , Mwanjale, kudhulumu watoto hatima pesa za kuwajengea nyumba , Asumpter kuiba degree....
 
Machungaji Getrudi lwakatare , mchungaji Asumpter mshama, mchungaji Lakson Mwanjale , mchungaji Mery mwanjelwa, mchungaji ............sijui hawa unawaona ?

sio wachungaji tu,hadi waganga wa kienyeji Prof Maji marefu na yule mwakilishi wa wachawi BMLK Kingunge!
 
Back
Top Bottom