Mchungaji awatusi na kuwaonya maaskofu wasiomuheshimu mkewe.

Chrismoris

JF-Expert Member
Oct 27, 2017
13,550
16,631
''Nataka kuwaambia nyinyi maaskofu, iwapo hamutamuheshimu mke wanngu nitawafurusha katika kanisa langu. sitaki kujua wewe ni nani'',

Mchungaji maarufu nchini Kenya Ng'ang'a wa kanisa la Neno Evangelist Ministry amegonga vichwa vya habari kwa mara nyengine tena baada ya kutishia kufunga matawi ya kanisa lake la Neno Evangelism akidai kwamba maaskofu hawamuheshimu mke wake.

'Wakati huu nitawaonyesha uwezo wangu... mwanamke yeyote ambaye hatamuheshimu mke wangu ....mulinipata hapa na wake zenu, mumejitajirisha kupitia juhudi zangu'' .

''Wajinga nyie...wajeuri...nilikuwa nikihubiri katika mkokoteni , naapa mbele ya Mungu nitawaonyesha Ng'ang'a ni nani....''. Mchungaji Ng’ang’a.
 
Hivi ili mtu awe askofu mchungaji Au nabii ukiwatoa rc Anglican na Lutheran hawa wengne muundo wao upoje maana wanatuchanganya Jaman mfano nabii Tito sijui mashimo hawajajipa mavyeo hayo

Ufike wakat tujitambue na hawa watu kanisa linakuwa la mipasho mwanzo mwisho
 
Arrogant, idiot, useless nitavunja viosk
 
Hivi ili mtu awe askofu mchungaji Au nabii ukiwatoa rc Anglican na Lutheran hawa wengne muundo wao upoje maana wanatuchanganya Jaman mfano nabii Tito sijui mashimo hawajajipa mavyeo hayo

Ufike wakat tujitambue na hawa watu kanisa linakuwa la mipasho mwanzo mwisho
Hivi mashimbo naye ni nabii?
 
Back
Top Bottom