Mchungaji atoa laana kwa familia kama imemdanganya!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Kuna familia ilipataa msiba huku kwetu. Kwa bahati mbaya mhusika alijiua. Walipoenda kanisani wakamdanganya pastor amekufa kwa shinikizo la damu na vyeti vya daktari wakatoa.


Mchungaji akasalisha misa ya msiba bila kujua. Jumapili kawaka akadai "Kama walinidanganya nikavaa joho kwa mtu aliyejiua adhabu ya Mungu ikawe juu yao.
 
Duh Wachungaji nao wana hamaki siku hizi, kila mtu yuko full stressed
 
Eli wakikosea anapigwa misumarii kilamtuanajiami
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom